Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Nakubali Mbwana Samata ni kijana wetu na ni mchezaji mzuri sehemu zote alikopita tuko nae bega kwa bega kumoa support na hata wazungu walipojaribu kumsema vibaya tulikiwa tayari kuingia vitani kwa...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
unajua alivypost watu walimuuliza signature ya verifier iko wapi? Mbona hiyo tarehe ni after match ina maana wana depart mbona hu post kwamba kule Sudani wachezaji wao 17 walikutwa na covid tarehe...
5 Reactions
20 Replies
3K Views
  • Redirect
Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) limetupilia mbali malalamiko ya klabu ya Al Merreikh kuhusu kufanyiwa hujuma na Simba SC juu ya vipimo vya Covid-19 kwa wachezaji wake wakati wa mchezo wa...
0 Reactions
Replies
Views
NILIIKUTA SIMBA INANUKA MAVI NA MADIRISHA YA MAGUNIA Mwenyekiti wa Simba Ismail Aden Rage amesema ataiacha Simba katika hali nzuri tofauti na alivyokabidhiwa wakati uongozi wake unaingia...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Katika kuhakikisha tunafanikiwa kutwaa vikombe viwili tunanavyowania msimu huu, klabu ya Yanga imeendelea kuboresha benchi lake la ufundi. Razaq siwa kocha bora kabisa wa makipa katika ukanda huu...
5 Reactions
17 Replies
2K Views
Mechi iliyopita kati yetu na E. Guinea ambayo tulitunguliwa dakika za mwishoni kwa goli moja, kocha msaidizi wa klabu ya Simba Suleiman Matola ndo alikuwa kwenye mstari wa kutoa maelekezo kama...
0 Reactions
3 Replies
734 Views
TUMETOLEWA RASMI!!!! Ungana nami kuanzia saa 4 kamili kupata updates za video, Mechi ya Equotorial guniea vs taifa stars HIGHLIGHTS KIPINDI CHA KWANZA 1. CHUPU CHUPU 2. MANULA ANATUSAVE...
1 Reactions
102 Replies
8K Views
MSHAMBULIAJI wa zamani wa Arsenal na Ufaransa, Thierry Henry, amejiondoa kwenye akaunti za mitandao yote ya kijamii kutokana na ongezeko la visa vya ubaguzi wa rangi katika majukwaa hayo. Henry...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Carlos Bacca ni miongoni mwa wachezaji bora wa Amerika ya Kusini ambaye huwezi kushuku kipaji chake. Mara kadhaa amekuwa nguzo bora na muhimu kwa klabu aliyoitetea kushinda tuzo. Msimamo mzuri wa...
7 Reactions
8 Replies
2K Views
Mabingwa wa kihistoria ligi kuu bara, yanga sc wameendelea kujifua huko Avic town. Katika mwendelezo wa mazoezi yao mwalimu aliyepewa mikoba ya kukinoa kikosi hicho kwa muda, amekuja na programu...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Pengine ni kitu cha kustajabisha masikioni mwako kufahamu mbwa kusababisha goli katika mchezo wa mpira wa miguu. Nafahamu upo na shauku na maswali mengi juu ya jambo hili la kushangaza, soma mkasa...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Binafsi nilifuatilia mchezo baina ya Tanzania na Guinea ya Ikweta. Niseme kutoka rohoni hatuna timu ya Taifa. Mchezo waliocheza siku ile ni mbovu sana. Naishauri TFF kwanza tujitoe kwenye...
1 Reactions
2 Replies
621 Views
Wakuu mwanzilishi na mbunifu wa soka ni nani? Na ulianza ktk taifa ganj na mwaka gani. Karibuni
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwema Wakuu? Nimekua nikitumia hii kampuni kubet bila tatizo muda mrefu tu. Lakin Sasa takriban siku kumi hivi nilikua Nina hela nimeshinda bet kwa hii kampuni ya PmBet nimeshindwa kuitoa. Kila...
1 Reactions
12 Replies
14K Views
Mechi kati ya Morocco na Mauritania, kwa wale waliobahatika kuitazama mechi leo...Kuangaza kwangu macho nikamuona fundi wa Sevilla Munir El hadad akichezea timu ya taifa ya Morocco, nikabaki na...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Aliyewahi kuwa Kapteni wa timu ya Taifa India na mchezaji mashuhuri na mwenye rekodi nyingi zaidi wa kriketi kuwahi kutokea nchini humo Sachin Tendulkar amesema, leo machi 27, 2021 amepima virusi...
0 Reactions
2 Replies
594 Views
Kiukweli bado sijaelewa kabisa kisa cha Kim Poulsen kupewa kazi ya kufundisha Timu ya Taifa, Aliyempa kazi hiyo ni nani na alilenga nini?
5 Reactions
52 Replies
25K Views
Good morning ladies and gentlemen. Shikamooni wakubwa zangu wote. Hivi kwanini ndani ya mamlaka ya kupambana na dawa za kulevya kusiwe na kitengo maalum cha kushughulukia matumizi ya mihadarati...
1 Reactions
15 Replies
5K Views
Pamoja na kwamba nchi yetu ya Tanzania inasifika kwa mambo mengi, ikiwemo vivutio vingi vya utalii, madini, maziwa na bahari n.k Pia kuna jambo ambalo limekuwa la upekee kwa watanzania, yaani...
0 Reactions
3 Replies
702 Views
Back
Top Bottom