Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,893
- 16,317
Good morning ladies and gentlemen. Shikamooni wakubwa zangu wote.
Hivi kwanini ndani ya mamlaka ya kupambana na dawa za kulevya kusiwe na kitengo maalum cha kushughulukia matumizi ya mihadarati aina ya bangi pamoja na mengineyo kwa wanamichezo wetu wa hapa Tanzania?
Ukijaribu kuangalia picha hapo juu utaweza kujua dhahiri ya kwamba kitendo anachokifanya mchezaji yule dhidi ya mwenzake kinadhihirisha ya kuwa kuna utumiaji mkubwa sana wa mihadarati kwa idadi kubwa sana ya wanamichezo wetu.
For instance soccer player wa ligi kuu (Tanzania bara na Zanzibar) wangeweza kuwa wanafanyiwa check up hata katika maabara ya mkemia mkuu kabla ya kuanza kwa ligi kuu ili. Iwe ni lazima kwa kila club ya soccer kupeleka wachezaji wake kwenye ofisi za mkemia na zoezi zima linasimamiwa na kuratibiwa na TFF kwa kushirikiana na anti doping committee, task force au department (whichever name fits in) kilichopo ndani ya mamlaka ya kupambana na dawa za kulevya.
Pia wanamichezo kabla ya kwenda kushiriki michezo nje ya nchi, they can be vetted as well kuona kama wana kiwango kibuwa cha mihadarati kwenye miili yao.
Hili ni wazo langu tu and I stand to be corrected.
Naomba kuwasilisha.
Follow me;
Military Intelligence Coup: Kisa cha rubani aliyeiba na kutoroka na Ndege ya Kijeshi ya Iraq
==========
K.G.B Espionage na Ujasusi kwa njia ya ngono kama silaha ya vita. Honey trap/Honeypot....Part One (1)
==========
Serikali na TRA, mnaweza kuwezesha utoaji wa risiti za VAT kwa njia ya mobile SMS. I stand to be corrected