Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Mosi, MKATABA umetolewa kwa muktadha wa UZOEFU na sio katika TARATIBU za Manunuzi ya Umma. Mathalani, tukiangalia Ligi ya South Africa, duration ya MKATABA inakuwa ni kati ya miaka miwili hadi...
17 Reactions
139 Replies
10K Views
Mchezaj wa kimataifa wa Yanga mwenye asili ya kiangola amevunja mkataba wake na yanga na kuelekea kwao angola sababu hazijaeleweka ila chini ya kapet ni kuwa maisha ya utopoloni yamemshinda...
1 Reactions
69 Replies
6K Views
Katika hali isiyo ya kawaida, kuna tukio linaonyesha mwamuzi akiungana na benchi la ufundi la Namungo kushangilia goli ambalo Steve Nzigamasabo wa Namungo aliitanguliza timu yake mbele. Bila shaka...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
  • Redirect
Kiungo Mukoko pasi na Shaka ndiye kiungo mkabaji Bora kwa msimu huu vpl.Ni kiungo anaye cover uwanja kwa eneo kubwa bila kuchoka na kuendesha timu ,no viungo wachache wana calibre hio Kama Ngolo...
0 Reactions
Replies
Views
Katika mpira wa miguu ambao uwa unasimamiwa na Sheria mbalimbali ambazo zinazotolewa na FIFA, kuna baadhi ya Sheria zimeondolewa. Ukiwa kama mpenda soka je Sheria gani unaikumbuka Sana ambayo...
1 Reactions
33 Replies
2K Views
  • Redirect
Wana JF habari za mchana, Je, mashabiki wa Chelsea mpo, je ile mechi mmeionaje je Man. City ni wakufungwa na Chelsea 3 games?
0 Reactions
Replies
Views
Hakuna cha Wilder, Fury, Joshua wala nani. Kwa sasa kuna mwamba m1 anaitwa Afe Ajagba. MnaNigeria huyo. Anapigana uzito wa juu. Baba! Ukimaliza round 3 wewe unabahati. Jamaa anapiga ngumi nzito...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
1. Nidhamu mbovu ya Wachezaji Watatu Lamine Moro, Metacha Mnata na Michael Sarpong huku wengine wakipigana, kurogana hadharani na hata kutukanana. 2. Tabia mbaya ya Usodoma na Ugomola aliyonayo...
13 Reactions
23 Replies
4K Views
Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara Vodacom Premier League VPL' kuvurumishwa leo Jumamosi Mei 29, 2021 ambapo Namungo FC wakiwa dimba lao la nyumbani kuwakabili Mabingwa Watetezi Mnyama Mkali...
11 Reactions
296 Replies
22K Views
Bondia wa Tanzania Hassan Mwakinyo ambaye alishinda kwa KO dhidi ya Bondia Antonio Mayala wa #Angola pambano lililofanyika Mei 28, 2021 Mwakinyo amesema kwa mara ya kwanza angeweza kugoma kwa...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
  • Redirect
Kuna mambo yanashangaza sana kwenye michezo hususani soka letu la Bongo. Jana tarehe 30 Mei, 2021 ndio ilikuwa fainali ya ligi ya daraja la kwanza kati ya Mbeya Kwanza dhidi ya Geita Gold. Pamoja...
0 Reactions
Replies
Views
Huku tukiendelea kutafakari Nkataba wa Azam tupate inputs mbali mbali ufuatao ni mgawanyo wa fedha kwa epl 2019/20 Bingwa yaani liver pool alipata euro milioni 174 sawa na bilioni 573 za madafu...
2 Reactions
11 Replies
928 Views
  • Redirect
Hii ni hatare kwa soka letu Jana F. Minziro akiwa anampa mkono raisi wa TFF akaukwepa Mna shida gani jamani? Je mnaweza ondoa hizi tofauti zenu kuokoa soka la Tanzania Hili jambo limesikitisha...
0 Reactions
Replies
Views
Nimerejea tena kuitazama post yangu ya tarehe 2 June mwaka huu. Niliipa kichwa cha habari, "PEP GUADIOLA NI KOCHA WA KAWAIDAA MNOOO". nilitoa mtazamo wangu kuhusu hyu kocha uchwara anae...
31 Reactions
192 Replies
13K Views
Game itapigwa siku ya jumamosi tarehe 29/05/2021 ndani ya dimba la Estadio Do Dragao ndani ya nchi Ureno. Tupia utabiri wako hapa. Utabiri wangu. Chelsea 0 vs Man City 3 Either Players to...
5 Reactions
76 Replies
5K Views
  • Redirect
Rais wa TFF Walace Karia akikataa kumpa mkono Coach Fred Ferix Minziro baada ya kutangazwa kuwa kocha Bora wa ligi Daraja la kwanza baada ya timu yake kuwa Mabingwa wa fainal ya ligi daraja kwanza...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Nijambo la kuvunja moyo kuona kiongozi mkubwa sana wa ngazi za juu wa soka anayafanya haya. Rais wa TFF WALLACE Karia amefanya ubaguzi wa kisiasa za simba na yanga tena wa kijinga. Tazameni...
0 Reactions
Replies
Views
Chelsea hii ya kuwaanzisha Reece James na Azipilicueta waanze pamoja (no creativity)? Chelsea hii ya kutuaminisha kuwa Timo Werner ni mchezaji mzuri wakati ligi inaonekana imemshinda? Chelsea hii...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
GEITA GOLD MABINGWA WA LIGI SOKA DARAJA LA KWANZA... Klabu ya Geita Gold ya mkoani Geita imefanikiwa kuutwaa ubingwa wa ligi soka daraja la kwanza Tanzania bara baada ya kuichapa Mbeya Kwanza bao...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Hizi ndo timu ambazo zimebeba UEFA CL toka mashindano yalipoanzishwa mwaka 1955 ambapo wakati huo mashindano haya yakijulikana kama European Cup mpaka mwaka 1992 yakabadilishwa jina na kuitwa UEFA...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Back
Top Bottom