Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Mpira wetu ukiwa unajikongoja kupiga hatua mdogo mdogo kimataifa na kuongeza viwango ligi, bado kuna jinamizi linatudisha nyuma huu mpira wetu na si jingine jinamizi la "Ushirikina." Kuelekea...
1 Reactions
6 Replies
674 Views
Naam, wakati real Madrid, Manchester city , wydad Casablanca, Rajacasablanca ,Al ahly n.k, zikipiga hatua kwa kuwekeza pakubwa katika kununua wachezaji nakuboresha mishahara na masilahi ya...
6 Reactions
55 Replies
3K Views
Rais wa klabu ya #Ghardimaou, Jamil Meftahi, amesema wameshindwa kulipa wachezaji wao kwa sababu #Tunisia iko katika mgogoro wa kiuchumi hali iliyosababisha Wachezaji hao kuzamia Ulaya Nchi hiyo...
1 Reactions
1 Replies
573 Views
1. Tumewaachia ili msiparurane 2. Tumewaachia ili mjifariji 3. Tumeshakuwa Mabingwa kwa 90% hivyo hatutaki kutumia Nguvu Kubwa 4. Tumechezesha Kikosi cha Watoto 5. Uchovu umetugharimu 6...
2 Reactions
9 Replies
835 Views
Inasemekana Yanga wanataka kumuuza feitoto thamani ya pesa walizotumia kumnunua Aziz ki. Yani dola 200,000+ ambayo Ni karibu m 500. Sasa Cha kujiuliza Sasa 1. Je Kama thamani ya feitoto na Aziz...
4 Reactions
23 Replies
3K Views
Na mndengereko Ni kawaida siku hizi waandishi wengi wa habari huandika kuhusiana na matukio mbalimbali yanayotokea katika jamii,hasa ya kitaifa na yanayohusisha public figure,mfano rais au makamu...
3 Reactions
2 Replies
800 Views
Kamati ya sheria na hadhi za wachezaji ya TFF itakutana kesho tarehe 12. April.2023 saa 4:00 asubuhi. Kamati pamoja na mashauri mengine itajadili shauri la FEISALI SALUM ABDALLAH (Feitoto)...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Kiwango kinachoonyeshwa na Waamuzi baada ya wenzao kufungiwa kinaonyesha waliofungiwa wameonewa. Mechi Tatu zilizopita zimechezeshwa Kwa butua butua ya Waamuzi na Leo Mdoe kafanya hitimisho la...
1 Reactions
7 Replies
804 Views
Huyo / Huyu ndiyo Jean GENTAMYCINE Baleke ambaye kwa Taarifa yenu tu alipokuwa Kwao Congo DR alimzidi Mtikisa Matiti na Mjipiga Makofi Mkononi kama Mwendawazimu kwa Ufungaji wa Magoli. Hapa kaja...
6 Reactions
12 Replies
4K Views
Kwa hiki nilichokiona leo mimi kama mwanalunyasi nashauri tusipeleke timu uwanjani ni bora wapewe ushindi wa mezani.
7 Reactions
18 Replies
1K Views
Nathibitisha kwamba nimeanza taratibu za kisheria kutafuta haki ya Kikatiba kuhusiana na utata wa vigezo vya John Gilbert Bayo kuendelea kuhodhi nafasi ya Makamu wa Rais wa Shirikisho la Riadha...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Naaam, mwamba atabaki kuwa mwamba tu, na so mwingine namuongelea fiston kalala mayele aka the robot aka the goal mashine. Hakuna kocha au timu Tanzania asiyetaka huduma ya mayele au striker Kama...
7 Reactions
38 Replies
3K Views
Nataka kujua hivi simba wamewahi kukutana na huu moto wa jezi nyeusi ya yanga? Kama juma pili ndo itakuwa mara yao ya kwanza basi acha ni fumbe macho yangu alafu niandike RIP simba
2 Reactions
2 Replies
506 Views
Hawa TANESCO yamekata umeme tuko tunaenjoy game ya Man city na Bayern.
1 Reactions
5 Replies
959 Views
Naona comments nyingi za kupeana moyo ; tena kutoka kwa waandishi wa habari wakubwa. Watu wanaandika magazeti na story za half lela ulela . Hii yote ni kwa sababu tunajua kuwa tuna poor...
22 Reactions
98 Replies
5K Views
Nawauluza nyie mashabiki oya oya wa Utopolo. Mnyama aliwahi kuwafumua marinda kwa goli 4, 5,Hadi Kuna mechi mliwahi kuchanwa 6 mlipokea shilingi ngapi kuuza mechi? Ktk ligi tofauti ya magoli ya...
1 Reactions
7 Replies
830 Views
Tff fikiri, timu zetu zinaenda kimataifa, ambapo zikishinda Tanzania imeshinda na pia rank za vilabu kimataifa zinapanda. Hivyo ili kuepusha majeruhi na uchovu tunaomba TFF mlifikirie hili, Yaani...
3 Reactions
20 Replies
3K Views
1. Argentina 2. France 3. Brazil 4. Belgium 5. England 6. Netherlands 7. Croatia 8. Italy 9. Portugal 10. Spain 11. Morocco 12. Switzerland 13. USA 14. Germany 15. Mexico 16. Uruguay 17. Colombia...
1 Reactions
7 Replies
18K Views
Wawakilishi pekee wa Tanzania na Afrika Mashariki katika mashindano ya shule za Sekondari Afrika "Fountain Gate Dodoma High School" wamefanikiwa kushinda mchezo wa Fainali dhidi ya timu ya...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Tukiwa tunausubiri derby kubwa hapa East Africa acha tujikumbushe Kwa kuipitia baadhi ya takwimu zilizopo tangu mwaka 1965 Simba. Yanga 106. Played. 106 31. Won...
2 Reactions
6 Replies
733 Views
Back
Top Bottom