Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

  • Redirect
Manara Asante kwa mchango wako mpaka tulipofikia Binafsi nashukuru kwa ulichotufanyia wana Simba na Kila la heri uendako.
0 Reactions
Replies
Views
Mimi GENTAMYCINE ambaye ni mwana Simba SC Mwenzako tena 'Kindakindaki' kabisa naweka hapa sababu ya 'Kipondo' chetu cha Jana 1. Wachezaji wa Simba SC wameshabweteka na wanajiona ni FC Barcelona...
11 Reactions
69 Replies
6K Views
Ni mtambo wa magoli uitwao Ben Malango uliosemekana umeshashushwa na GSM umesajiliwa kwa bilioni 8 huko kwenye hela za mafuta yaaani ilibaki kidoooogoooooo tu atue utopolo kutoka Raja casablanca.
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Mchezaji akifanyiwa madhambi (foul) ndani ya eneo la hatari (penalty box) kinachofata ni mpira wa adhabu ambao hujulikana kama mkwaju wa penati, lakini ulishawahi kujiuliza kuhusu hii (kwenye...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Jana nilimshuhudia Bernard Morrison akivua bukta yake baada ya ushindi na kubakiwa na gguo ya ndani. Hilo suala la kusherehekea ubingwa kwa staili hiyo si la ajabu machoni mwangu hivyo hata...
1 Reactions
19 Replies
4K Views
Sijasikia kama na Rais wetu ndiye atakuwa tena mgeni RASMI fainali ya FA Kigoma. Simba ilifungwa mbele ya mkuu wa nchi ambae hatakuwepo kwenye mechi Kigoma. Hii Itayafanya maumivu ya kufungwa...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Kwanza nawapongeza kamati mahususi kwa ajili ya Uandaaji wa Kombe la Shirikisho maarufu kama Azam Federation Cup. Hakika kila mwaka kuna maendeleo kadri ambavyo linazidi kusonga mbele. Hakika...
17 Reactions
30 Replies
3K Views
Penye ukweli usemwe Kwa Mpira ule yanga mkicheza CAFCL, Mifaulo kama ile, miguu yashingo miguu ya roho Mapema tu mtalaum malefa.
7 Reactions
23 Replies
2K Views
Rejea kichwa cha habari Ousmane Dembele bought for €35 From STADE DÊ RENNES Sold For €135 to BARCELONA, PROFIT €100 Jadon Sancho bought for €7.8M from MANCHESTER CITY YOUTH ACADEMY Sold For...
0 Reactions
4 Replies
627 Views
Yaani tukio la Bernard Morrison Kuvua Bukta yake, kubakia na Chupi ya Njano huku Bukta akiiweka Kichwani mwake linajadiliwa kwa dakika 120 ila tukio la Tonombe Mukoko la Kumpiga Kiwiko kibaya John...
8 Reactions
17 Replies
2K Views
Kwa ufupi tu, Kuna wasemaji na wahamasishaji wengi wa Vilabu vya michezo hapa Nchini kuanzia Masau Bwire, Bumbuli, Nuggaz, na wengineo. Hawa wana jukumu kubwa la kuhamasisha mashabiki, kujenga...
12 Reactions
21 Replies
3K Views
@mukoko_tomombe Awaomba radhi Viongozi, Benchi la Ufundi, Wapenzi, Wanachama na Mashabiki.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Olympics Group F:Women ▪️ Brazil 5-0 China ▪️ Netherlands 10-3 Zambia ▪️ China 4-4 Zambia ▪️ Netherlands 3-3 Brazil 32 goals in four games 😳
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Utopolo atacheza kimataifa mwakani kwa mgongo wa Simba, cha msingi wasilete aibu kwa taifa kwa kutolewa mapema. Kitu kingine, marefa wa kimataifa huko hawana uvumilivu na ule mchezo wao wa kihuni...
11 Reactions
23 Replies
2K Views
Najua hamuamini hili refa anaingia uwanjani na redi kadi yenu kapewa maagizo wapi sijui Ushauri 1) Wachezaji mjitahidi sana kushinda magoli mengi kipindi cha kwanza 2) Wachezaji mjitume...
36 Reactions
166 Replies
16K Views
Hii kampuni ya kishenzi sana siku hizi ukila hela wanaamua wanakupa saa ngapi. Hii mara ya nne wanaropoka subiri masaa 48 huu ungese kabisa. Halafu ina mkurugenzi kabisa aliienda shule hope...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Simba imetangaza kujitoa kwenye mshindano ya Kagame yanatotarajiwa kufanyika mapema Agosti jijini Dar es Salaam. Mratibu wa timu Simba, Abbas Ally amesema hawashiriki Kagame ili kutoa nafasi kwa...
10 Reactions
25 Replies
4K Views
Ule muda wa lawama umewadia. Akili, macho na masikio yote kwa sasa yameelekezwa Kigoma ambako leo Jumapili, kunapigwa pambano la fainali ya Kombe la Shirikisho (ASFC) baina ya Yanga na Simba...
17 Reactions
548 Replies
46K Views
1. Msemaji wenu Hassan Bumbuli na Afisa Mhamasishaji wenu Mkuu Antonio Nugaz baada ya Mechi ya tarehe 3 July, 2021 ambayo Yanga SC ilishinda walisikika wakisema kuwa Simba SC bila Kuwanunua...
9 Reactions
15 Replies
2K Views
Sisi Yanga Mzee Mpili katuroga kabisa. Msimu Huu tumembeba Hersi Ona Sisi Wao Simba walivyobeba Msimu huu.
4 Reactions
21 Replies
3K Views
Back
Top Bottom