Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Tulijiuliza sana kwanini Yanga wanamtetea Manara humu? Mtu avunje miiko ya kazi halafu kundi la wahuni linamtetea. Uongozi wa Simba sio wajinga, leo manara anatangaza tamasha la Yanga kuonyesha...
17 Reactions
81 Replies
6K Views
Habari kutoka chanzo cha ndani GSM ni muda wowote kuanzia kesho Luis Miquissone atatambulishwa kama mchezaji mpya wa kigeni kwa klabu ya Yanga. NB: Yanga wanafanya mambo kwa pupa na itawatokea puani!
10 Reactions
66 Replies
11K Views
Haji huyuhuyu anaelalamikia uongozi wa Simba, alikuwa analipwa 700k bila vyeti Manara huyuhuyu ambaye kabla ya Simba hakuwa maarufu shida zake kubwa zilitatuliwa na MO kifedha kama kijana wake...
26 Reactions
122 Replies
10K Views
Ule msemo wa kuwa Siasa haina rafiki au adui wa kudumu naomba leo uhamie kwenye soka! Mimi binafsi naomba Mo unisamehe, niliaminishwa maneno kuwa wewe ni mbaya na jamaa fulani ila leo nimeamini...
22 Reactions
69 Replies
5K Views
Wote ni viungo wa kukata na shoka katika ubora wao! Wote kwa nyakati tofauti waliweza kucheza nafasi ya box to box midfielder, holding au central midfield! Nafasi imebaki moja, unampa nani namba...
4 Reactions
38 Replies
4K Views
Hakuna blah blah ! Huo ndio ukweli, na tujue hilo na wanaomnyatia nyatia, kama hauna Bilioni 10 za Kitanzania basi usihangaike hata kumhitaji Miquisson. Tena hio Bilioni 10 ni TUNAKUFIKIRIA au...
15 Reactions
50 Replies
6K Views
Kuna tetesi kuwa Ezekiel Kamwaga atapishina na Gift Macha pale Simba. Binafsi nashuri club yangu pendwa impe usemaji Masau Bwire mbele ya Gift Macha pale Simba. Nina uhakika kuna kitu ataongeza...
5 Reactions
51 Replies
5K Views
Tulipoona tangazo la PRESS ya leo ya YANGA tulijua majibu ya Morrison ndo yamerudi kumbe wanatangaza ujio wa HAJI MANARA swali ni je WHY MANARA ATANGAZWE katika tarehe ambayo tulitarajia watupe...
3 Reactions
7 Replies
935 Views
Akiwa anafikiria kuondoka kwa @realcloutuschama na luis_miquison kuta leta unafuu wa kupata nafasi ya kucheza mara kwa mara @simbasctanzania ikamletea wachezaji 4 kwenye nafasi hiyo @dcduncun...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
  • Redirect
Naona baada ya kishindo cha jana wengi mnaandika na comments za hasira na chuki mbaya jamani haya ni maisha na tukumbuke waswahili walisema leo kwangu kesho kwako na kutesa kwazamu. Nawashauri...
1 Reactions
Replies
Views
Huyu nia yake ya kujimilikisha Timu ya Simba sasa imekua dhahiri. Taarifa za ndani zinasema kuwa Dewj anawaondoa watu wote ambao wamekuwa kikwazo katika mkakati wake. Huyu ametapatapa sana...
17 Reactions
72 Replies
6K Views
  • Redirect
cheki jamaa alivo kataa kuulizwa maswali kua wandishi wataharibu story(mipango yao) izi huja za haji hazita fika popote anazidi kuumbuka
0 Reactions
Replies
Views
Haji Manara ameizima Yanga na kuisigina kabisa. Msuso umewarudia wenyewe
6 Reactions
37 Replies
5K Views
Michuano ya Paralympics inaanza leo Jijini Tokyo huku Japan ikikabiliwa na mlipuko mbaya zaidi ya COVID-19 ambao umepelekea idadi kubwa ya maambukizi kurekodiwa na Mfumo wa Huduma za Afya kulemewa...
1 Reactions
3 Replies
891 Views
Habari zinazozunguka mtandaoni hivi sasa ni kwamba mshambuliaji mahiri wa ureno na klabu ya Juventus anaweza kuhamia klabu ya Manchester City kabla ya kufungwa kwa dirisha la usajili nchini...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mimi ni shabiki wa Simba maana watu hawakawii kukuita Yanga, utopolo n.k. Simba chini ya Babra na Mo walimfanyia Haji Figisu and Vice Versa( kila mmoja anamtuhumu mwenzake). Baada ya Haji kuona...
5 Reactions
13 Replies
882 Views
Baada ya kusikiliza clip ya Haji Manara ni dhahiri shahiri anajiona amekua mkubwa zaidi ya Simba. Uongozi wa Simba uchukue hatua haraka za kumuondoa kwa mustakbal wa klabu yetu pendwa. Anasahau...
4 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari, leo ndio kuna fununu ya ile kesi ya kijana wetu mpendwa Morrison kule CAS. Je kuna mwenye taarifa yeyote?
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Msemaji mkuu wa klabu ya Simba amesema Simba siyo baba wala mama yake. Manara amesema anaweza kujipatia riziki yake kupitia vyanzo vyake vingine vya mapato na si lazima iwe klabuni hapo. Manara...
8 Reactions
107 Replies
21K Views
Gazeti la Mwananchi limeripoti muda mfupi uliopita kuwa Msemaji wa Klabu Simba Haji Manara alizimia mara kufuatia kipigo cha bao 4 kwa bila kutoka kwa Klabu ya Kaizer Chief ya Africa Kusini...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Back
Top Bottom