Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Kuna uvaaji wa Jersey wameuleta hawa jamaa haunipendezi kabisa, ni hivi ukifuatilia vizuri uvaaji wao Azizi Ki, Akaminko na Moloko wanakunja kaptula kiasi ambacho mapaja yote huwa nje, kwa upande...
6 Reactions
29 Replies
2K Views
Itoshe kusema jamaa anatosha kabisa kukalia kiti cha CEO. Naamini huyu ndo atatusaidia kuleta kombe la CAFCL hapa bongo. Nilianza kumuelewa kuanzia tulipopangwa na rivers and now tumepewa...
10 Reactions
22 Replies
2K Views
Hakuna msimu umewaumbua wachambuzi wa Tanzania kama msimu huu; Knock Out Stade; "Yanga habari yao imeishia hapo. Hawawezi kumtoa Club Africain aliyeshinda goli (7) kwake. Nabi hawezi mechi za...
9 Reactions
14 Replies
1K Views
Wa Nje Dumbia Morrison Kisinda Juma Shaban Wa Ndani Ngushi Ambundo Bryson Zawadi Mauya Johora Yanga inahitaji kama wachezaji 4 wapya wenye quality wa nje. Pia wachezaji 5 wa ndani wenye quality!
1 Reactions
15 Replies
6K Views
Mara nyingi huwa ninaona watu wakijaribu kulinganisha vilabu hivi viwili vya Yanga na Simba, Ila kiuhalisia vilabu hivi vinatofautiana sana kiumri,mafanikio na hata kihistoria. 1.Kiumri Yanga...
10 Reactions
35 Replies
3K Views
Augburg vs Dortmund 38' Augsburg wanapata kadi nyekundu, mechi ijayo Dortmund atakua nyumbani vs Mainz ambayo haina cha kupoteza maana haigombei chochote na iko salama kutoka mstari wa kushuka...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hawa Mwakarobo x 4, aka Kilo moja ni katimu kamoja kadogo, na kanachojifanya ni katimu ka kimataifa. Hii Timu ya Simba inatumia kivuli Cha Robo fainali nne kujiita wao wakubwa, kiuhalisia Simba...
3 Reactions
10 Replies
928 Views
Mtanange wa kumtafuta mwanafainali atakayecheza na Azam pale mkwakwani Tanga. Game itaanza itaanza saa Tisa na nusu. Kikosi cha Singida Kikosi cha Yanga Mchezo huu ni wa Nusu Fainali Mchezo...
4 Reactions
156 Replies
14K Views
Tshepo Gumede beki wa Marumo Gallants ambaye Mayele alimfanyia ukatili mkubwa akimuwekea mpira mbele kisha kuanza kumkimbiza na akampita na kuwahi mpira licha ya beki huyo kuwa mbele yake kabla ya...
6 Reactions
13 Replies
2K Views
FAINALI YA YANGA KOMBE LA SHIRIKISHO hapa Tanzania, KAMA NCHI TUNAJIUZA VIPI? JE YANGA NYINYI MMEJIPANGAJE? Nionavyo mimi tunatakiwa kuitengeneza hii fainali iwe ni PACKAGE. Isiwe tu kwenda...
14 Reactions
13 Replies
1K Views
Chapisho la Africa soccer zone kulingana na ubobezi wake limetoa % za timu zinazoweza kuchukua ubingwa wa CAFCL kama ifuatavyo MAKOLO ni WA mwisho Wana 3% Probability of winning the CAF Champions...
7 Reactions
73 Replies
5K Views
Mara baada ya aliyekuwa mtendaji mkuu wa Simba Barbara Gonzalez kuzuiliwa kukaa jukwaa kuu na watoto wake alikuja na wazo la Simba ijenge uwanja wake. Ninaomba Wana Simba wenzangu mnisaidie...
13 Reactions
23 Replies
2K Views
Naona hii ya kucheza match saa 10:00 jioni ni kama uoga hivi wa wasimamizi wa uwanja kuhusu swala la kuzimika taa. Maana huu muda sijawahi kuupenda katika maisha yangu. Wangeweka hata saa 12:00...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Ni moja kati ya wanasoka nguli waliowahi kutikisa ulimwengu wa soka zama zake, Fatilia mkasa wake.. Part 1:: Diego alizaliwa sehemu masikini alishindwa kuweza hata kumudu nauli ya kwenda kufanya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ukweli usemwe, Simba bado ni klabu yenye mafanikio Afrikla msimu huu kama siku zote kuifananisha na Yanga ni dharau. Yanga ni kiteam kidogo sana, vi mafanikio walivyopata ni vidogo sana...
19 Reactions
42 Replies
5K Views
1)Mwaka 1977, Simba iliweka rekodi katika mechi za watani wa jadi kwa kuifunga Yanga mabao 6-0. Zaidi ya miaka 42 rekodi hiyo haijafikiwa. 2)Mwaka 1938, Sunderland (kwa sasa Simba SC) ilikuwa...
6 Reactions
28 Replies
5K Views
Naona taratibu wameanza kurudisha utawala wao. Kwa sasa wana timu 5 zinazo cheza hatua za nusu fainali. Pale champions league kuna Ac Milan na Inter Milan. Hawa wanaenda kukipiga nusu fainali wao...
15 Reactions
45 Replies
4K Views
Sijajua vigezo wanavyotumia TFF lakini hata kwa kipofu asiyetazama mpira na kusikiliza kwa Radio anajua kazi kubwa aliyoifanya Khalid Aucho, TFF inathubutuje kutomtaja katika orodha ya viungo...
0 Reactions
5 Replies
787 Views
Tff na Bodi ya ligi haya ni madudu makubwa Tena makubwa sana mliyoyaonesha ya kutoa orodha ya majina ya wanao wania hizo tuzo kabla ya ligi kufika tamati. Bila kupepesa Macho NALIA NGWENA na...
2 Reactions
14 Replies
696 Views
Back
Top Bottom