Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kiukweli kabisa timu yetu imepita kuwa miujiza tu, ni timu mbovu kabisa ambayo uwezo wa wachezaji tu ni mbovu. Tulipaswa kutengeneza timu yetu hata kwa miaka 20 kama ilivyofanya Senegal...
28 Reactions
194 Replies
13K Views
Habari! Naona wahujumu wa watani (Wamatopeni) wanaendelea kuwahujumu hadi mechi za kirafiki. Leo tena kile kikosi wanachoamini ni kipana yaani hata waliokuwa Sub ukiwaweka uwanjani wanaaminiwa...
5 Reactions
10 Replies
1K Views
Mimi nahis bado serikali yetu haijaweka kipaumbele katika michezo kama inavyoweka kweny masuala mengine, na kama kungekua kuna kipaumbele sana katika michezo Tunisia ilikua ni ya kuifunga 2 kwa 0.
1 Reactions
40 Replies
2K Views
Kikosi cha simba Ally salim Henry husein Hasan Mohammed Ame Ally Kennedy Bwalya Miraji Chama Ajibu Ilanfya Kahata Karibuni
2 Reactions
39 Replies
3K Views
Tunafahamu Dismas Ten ni moja wa maofisa ndani ya klabu ya Yanga. Kimsingi anaitambua mipaka yake nje na ndani ya ofisi : Yanga SC ni mshindani wa Simba SC kimasoko. Kila mmoja ana wajibu wa...
5 Reactions
18 Replies
3K Views
Wakuu habari ya Muda huu na poleni na majukumu ya ujenzi wa Taifa. Nije moja kwa moja kwenye mada. Nahitaji kusaidiwa sample ya katiba ya timu yeyote ya mpira wa miguu .Anayeweza kunisaidia ndugu...
2 Reactions
12 Replies
5K Views
Huwezi ukawa na Timu ya Taifa yenye Wachezaji mahiri wa Klabu ya Simba SC kama akina Manula, Kapombe, Tshabalala, Nyoni, Mkude na Boko halafu ukafungwa Goli / Bao nyingi na Timu yoyote ile...
5 Reactions
71 Replies
6K Views
Ili kutusahaulisha na ile bil 20 iliyoahidiwa bila kuletwa na anayewapa hela ya kula, basi wanaamua tu kutuzuga na dhuluma za usajili kwa kuitegemea TFF ambayo imejaa wana simba. Hivi baada ya...
6 Reactions
49 Replies
4K Views
Nitoe pongezi kwa wadau wa masumbwi nchini kwa kuendelea kutupa furaha tena sisi wapenda masumbwi nchini. Kwa kipindi fulani unaweza kudhani kua mchezo wa masumbwi kama vile ulikua umesahaulika...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Bondia Hassan Mwakinyo na Jose Carlos Paz wa Argentina Next door arena leo Mataifa sita, mapambano manne, ulingo mmoja Bondia Jose Carlos Paz ana rekodi ya kupanda ulingoni mara 35, ameshinda...
8 Reactions
184 Replies
17K Views
"Kwa jinsi ninavyocheza kama nikibahatika Kucheza pamoja na Wachezaji kama Chama, Mkude, Morisson, Dilunga, Miquissone, Morisson na Kipa bora Tanzania Manula Kazi yangu itakuwa nzuri na rahisi...
6 Reactions
31 Replies
3K Views
Hakuna ubishi jana tumeionyesha Afrika na Dunia kuwa sisi soka bado saana. Mambo machache niliyoyaona mimi kweny emchezo wa jana na ambayo yamekuwa yakijirudia rudia: 1. Wachezaji hawana kabisa...
5 Reactions
25 Replies
3K Views
Dar es Salaam. Rais wa chama cha ngumi za kulipwa cha WBF Howard Goldberg atawasili nchini Jumatano kwa ajili ya usimamizi wa pambano ubingwa wa mabara super-welterweight kati ya bondia Hassan...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
My Take Mamlaka zisiogope kuishusha daraja Yanga
7 Reactions
66 Replies
7K Views
Mwakinyo wewe ni mtu imara sana nimeielewa kazi yako kweli una uchu wa mafanikio nguvu unayo ya kutosha Wanaotaka kila siku mapambano wa wewe wakuwekee mapesa ya kutosha ndio upambane...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Senzo yupo ndani kwa tuhuma za kuhujumu simba Inasemekana alipeleka pesa kwa wachezaji wa simba ili wapoteze mechi dhidi ya prison. Ikibainika ni hivyo itahesabiwa ni upangaji wa matokeo na...
0 Reactions
48 Replies
4K Views
Nimeshangaa kumbe timu yetu ya wanawake under 17 wamechukua ubingwa wa COSAFA na hii habari Haina hata buzz yoyote..why? Wasouth Africa wanaipamba Sana timu Yao ya wakubwa imechukua ubingwa...
1 Reactions
9 Replies
758 Views
* MUKOKO Mechi 4 goli 1 Assist 0 Dube Mechi nne Goli 3 Assist 3 MESHACK WA GWAMBINA Mechi : 4 Goal : 4 Assist : 2 Mchezaji Bora MUKOKO Au Kuna Kigezo Kingine Kimetumika Ili Kumpata...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Form is a temporal class is permanent. Mpira wanaocheza timu ya taifa kipindi hiki ni mzuri sana mapungufu ni kidogo tu tulikuwa tunalaumu washambuliaji kuto kufunga lakin jana tatizo limeonekana...
11 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari! Timu ya Taifa bado hali ni tete na itaendelea kuwa tete kila kuchika. Huu U-Simba na Yanga unadumaza sana timu ya taifa isisonge mbele na kunajikuta tunarudi nyuma kila siku. Kocha ni...
3 Reactions
28 Replies
2K Views
Back
Top Bottom