Wapi tunakwama Watanzania mpaka soka letu haliendelei kama wenzetu?

Juma sele

Member
Nov 12, 2020
54
95
Mimi nahis bado serikali yetu haijaweka kipaumbele katika michezo kama inavyoweka kweny masuala mengine, na kama kungekua kuna kipaumbele sana katika michezo Tunisia ilikua ni ya kuifunga 2 kwa 0.
 
Jamaa_Mbishi

JF-Expert Member
Jun 15, 2013
7,702
2,000
Mimi nahis bado serikali yetu haijaweka kipaumbele katika michezo kama inavyoweka kweny masuala mengine, na kama kungekua kuna kipaumbele sana katika michezo Tunisia ilikua ni ya kuifunga 2 kwa 0.
Wachezaji wetu ni wasanii, wakiacha uchawi tutafika mbali sana.
 
mbongo_halisi

JF-Expert Member
Apr 16, 2010
5,164
2,000
Wachezaji wetu wazuri wanacheza ligi za mchangani ila hawa wa timu kubwa kubwa ni washirikina mno na hawana mpira kivile ndiyo maana tunafungwa kama hatuna akili.

Wanaroga mpaka makocha, mtu kama Kaseja, Aishi Manula, Juma Nyoso, Ngassa, hawa si wachezaji kabisa, ni wasanii tu wa matunguli.

Tusitegemee kupata matokeo mazuri kimataifa kama wachezaji wetu hawatoacha kutumia uchawi na kuroga makocha.
 
Juma sele

Member
Nov 12, 2020
54
95
Wachezaji wetu wazuri wanacheza ligi za mchangani ila hawa wa timu kubwa kubwa ni washirikina mno na hawana mpira kivile ndiyo maana tunafungwa kama hatuna akili. Wanaroga mpaka makocha, mtu kama Kaseja, Aishi Manula, Juma Nyoso, Ngassa, hawa si wachezaji kabisa, ni wasanii tu wa matunguli. Tusitegemee kupata matokeo mazuri kimataifa kama wachezaji wetu hawatoacha kutumia uchawi na kuroga makocha.

Asee apo basi naona ndo tutakua tuna kwama kila day
 
Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
16,293
2,000
Mimi nahis bado serikali yetu haijaweka kipaumbele katika michezo kama inavyoweka kweny masuala mengine, na kama kungekua kuna kipaumbele sana katika michezo Tunisia ilikua ni ya kuifunga 2 kwa 0.
Ni mambo gani serikali imeweka kipao mbele?

Siku makonda alivyo jiingiza kwenye timu ya taifa nikajua hatupo serious kwenye mambo ya msingi! Kwa kifupi mpira wetu unaendeshwa kisiasa!
 
Wyatt Mathewson

JF-Expert Member
Dec 22, 2017
11,063
2,000
Mimi nahis bado serikali yetu haijaweka kipaumbele katika michezo kama inavyoweka kweny masuala mengine, na kama kungekua kuna kipaumbele sana katika michezo Tunisia ilikua ni ya kuifunga 2 kwa 0.
Hii ni outcome ya dysfunctional country with a very dysfunctional economy!

Citizens ambao ndio consumers wa footbal have no money to spend on....

Media sector ambae ndio kiungo wa ku-dispense hii footbal entertainment kwa citizens ni broken down,ipo hijacked,ipo compromised,no autonomy,no freedoms of business,ziko shrinked down,zipo controlled na the main government..huwezi pata flourishing media sector yenye fedha kucheza hii biashara!

Sponsors wote ambao ndio private sector companies ni broken down,no turnovers,no disposable income ya kufadhili mashindano kama marketing......total breakdown.

Team kama Simba ina run kwa -ve 3billion per year,sijui unategemea ndondo cup nani afadhili?

Yote haya na mengine meeengi ni byproduct ya kichwa kikuu cha nyoka,cha msingi ni kutoa hicho kichwa tuweke kingine chenye akili....otherwise kila mtu atakua anaogopa kuwekeza kwenye hii sector maana hela yake hairudi kwa mazingira haya ya mbinyo wa biashara

It does not make any business sense kujishughulisha na huu upuuzi for now...Mo anapoteza muda wake no matter what,mpaka aje mtu mwenye akili abadili mfumo mzima nchi iwe true capitalist country with total freedom of business and true pursuit of profits within the law of the land!

Kinyume cha hapo ni comedy jumlisha comedy!
 
Don Clericuzio

JF-Expert Member
Dec 8, 2017
16,950
2,000
Mimi nahis bado serikali yetu haijaweka kipaumbele katika michezo kama inavyoweka kweny masuala mengine, na kama kungekua kuna kipaumbele sana katika michezo Tunisia ilikua ni ya kuifunga 2 kwa 0.

Wapi unadhani serikali yetu imeweka kipaumbele na ikafanikiwa?

Mahali pekee serikali hii ilipofanikiwa ni kwenye uchakachuaji wa kura.
 
Ngorunde

Platinum Member
Nov 17, 2006
2,283
2,000
Pamoja na yote yaliyozungumzwa na wadau hapo juu, Tanzania tuna shida ya lishe!

Wachezaji wetu hawana stamina kabisa. mikiki ya kugombea mpira na kuumiliki ili achukue maamuzi hawana kabisa.

Ninafikiri wakati umefika tunapochagua wachezaji, pamoja na ubora wa uchezaji suala la umbo pia litiliwe mkazo.
 
TFF hili wanatakiwa kuwekabakilini kabisa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom