Rwanda Forum

Murakaza neza ku rubuga rwa JamiiForums. Nezerwa n'amakuru n'ibiganiro bitandukanye mu rurimi rw'ikinyarwanda
Hatuwezi ,,Hatuwezi ,, Hatuwezi kuwa sawa na wanaume ..Leo mwanamke unamkuta kaajiriwa mwanaume anapambana anavojua yeye Lkn bado ile pesa ya mwanaume unaikodolea macho ...Kuna Wanawake...
0 Reactions
1 Replies
130 Views
When you say your husband is abusing you in that marriage, many men were very nice to their women at first; they treated their women nicely. However, some husbands started misbehaving as a...
0 Reactions
1 Replies
166 Views
SIKU MKEO AKIANZA KULALA NA MWANAUME MWINGINE JUA KIFO CHAKO KI KARIBU....... "Mwanaume anaweza kuchepuka na bado akawa na upendo wa dhati kwa mke wake lakini mwanamke hawezi kuchepuka na...
0 Reactions
0 Replies
342 Views
Pamoja na wenzake wengine wa cheo hicho, wanatuhumiwa kujaribu mauaji ya rais wa DRC. Wapo jela
0 Reactions
1 Replies
126 Views
Sehemu za siri za mwanamke, zikishikwa Na mwanaume hulainika. Maana yake ni kwamba mwanaume huyafanya maisha ya mwanamke kua malaini. Sehemu za siri za mwanaume zikishikwa na mwanamke hua ngumu...
0 Reactions
1 Replies
215 Views
Aliekuwa waziri nchini DRC, aliehakikisha vibaka wanahukumiwa kifo na kunyongwa, leo anakaa nao kiti kimoja kusikiliza kesi inayomkabili.
0 Reactions
1 Replies
82 Views
Mchumba wangu Alinipigia simu! Hello baby, nina njaa sana muda huu. Samahani unaeza kuja kwangu muda huu , na wakati unakuja naomba uniletee kuku dear. Bila kupoteza muda, ilianza kutafuta...
2 Reactions
4 Replies
252 Views
Msichana mwenye umri wa miaka 11 aligundua kwamba alikuwa ameanza kuota nywele kati ya miguu yake, akawa na wasiwasi na kumuuliza Mama yake kuhusu nywele hizo. Mama yake akamwambia kwa utulivu...
1 Reactions
2 Replies
168 Views
Mabadiliko haya,yanapunguza kwa kiasi kikubwa muda wa watoto kukaa darasani. Kutoka saa tatu,sasa hivi wanafunzi wa asubuhi,wataingia darasani saa mbili. Watatoka saa tano na nusu,kwa ajili ya...
0 Reactions
1 Replies
124 Views
Ni baada ya kutangaza kwamba, mpaka mwisho wa mwaka huu, magari ya abiria yanayotumia mafuta, na pikipiki maarufu kama bpda boda, havitaruhusiwa tena kuingizwa jijini kwa ajili ya shughuli ya...
0 Reactions
3 Replies
184 Views
Jijini Kigali, Hoapitali ya CARAES Ndera,inayojihusisha na tiba ya magonjwa ya akili na mishipa, imetangaza kupata ongezeko kubwa la wanaotafuta huduma, wengi wao wakiwa vijana chini ya miaka 30...
0 Reactions
1 Replies
112 Views
Nchi moja jirani imewaonyesha watu hawa kama kikundi hatarishi kwa usalama wake.
0 Reactions
2 Replies
100 Views
Hivi, kwa anaejua matumizi ya hizi dawa za sindano, ina maana hata mtu akiwa ana HIV, unazagamua bila hofu au vipi? Ukishachoma! Ina maana, wazinzi wamewekwa sehemu salama?
0 Reactions
1 Replies
67 Views
Duniani tunalizwa na mengi, na ni mabaya toka kwa maadui zetu. Machozi hayawezi kuisha, kwa sababu mama yao na maadui zetu, hubebeshwa mimba kila mmoja anapokuwa amezaliwa
0 Reactions
1 Replies
95 Views
Kwa namna wanawake wengi wanavyopenda pesa, na sasa hivi imekuwa ngumu, kutofautisha mwanamke anaejiuza na mwenye mapenzi ya kweli si rahisi tena.
0 Reactions
1 Replies
205 Views
Ikiwa kwa jirani wana maisha haya, na wewe unayewaangalia unachekelea, kesho keshokutwa, itakuwaje ikifika zamu yako? Matukio mengine ya kukemea. Mtu anahangaika na kula tuuuu, wenye hela...
0 Reactions
1 Replies
98 Views
Pichani, ni ndege ya kivita, aina ya Sukhoi SU-25, iliyokuwa imetelekezwa na FARDC baada ya M23 kuifukuza Goma. Iliachwa kwa sababu ya hitilafu. Kwa sasa, ndege hiii nasemekana kufanyiwa...
0 Reactions
0 Replies
205 Views
Ni tangazo lililotolewa na msemaji mkuu wa serikali ya DRC, Patrick Muyaya. Amesema wanazo taarifa za uhakika za kila kinachoendelea. Hata hivyo, inasemekana kushirikiana na serikali ya Burundi...
0 Reactions
0 Replies
190 Views
Maji safi na salama kwa wakazi wa Kanombe, jijini Kigali. Mamlaka husika, ilionywa kwa tuhuma za kupoteza zaidi ya bilioni 7 za maji masafi, yaliyoandaliwa, yakaishia njiani bila kuwafikia...
0 Reactions
0 Replies
85 Views
Mwanamke, ana nini cha kumpa mwanaume? Iko hivi, mwanamke ana majukumu mawili kwa mwanaume wake: -Kuvuruga mwanaume akiwa ametulia na -Kumutuliza akiwa amevurugwa Najua wengine watasema ni...
0 Reactions
0 Replies
140 Views
Back
Top Bottom