Hivi, kwa anaejua matumizi ya hizi dawa za sindano, ina maana hata mtu akiwa ana HIV, unazagamua bila hofu au vipi? Ukishachoma! Ina maana, wazinzi wamewekwa sehemu salama?
Duniani tunalizwa na mengi, na ni mabaya toka kwa maadui zetu.
Machozi hayawezi kuisha, kwa sababu mama yao na maadui zetu, hubebeshwa mimba kila mmoja anapokuwa amezaliwa
Ikiwa kwa jirani wana maisha haya, na wewe unayewaangalia unachekelea, kesho keshokutwa, itakuwaje ikifika zamu yako?
Matukio mengine ya kukemea. Mtu anahangaika na kula tuuuu, wenye hela...
Pichani, ni ndege ya kivita, aina ya Sukhoi SU-25, iliyokuwa imetelekezwa na FARDC baada ya M23 kuifukuza Goma. Iliachwa kwa sababu ya hitilafu. Kwa sasa, ndege hiii nasemekana kufanyiwa...
Ni tangazo lililotolewa na msemaji mkuu wa serikali ya DRC, Patrick Muyaya.
Amesema wanazo taarifa za uhakika za kila kinachoendelea. Hata hivyo, inasemekana kushirikiana na serikali ya Burundi...
Maji safi na salama kwa wakazi wa Kanombe, jijini Kigali.
Mamlaka husika, ilionywa kwa tuhuma za kupoteza zaidi ya bilioni 7 za maji masafi, yaliyoandaliwa, yakaishia njiani bila kuwafikia...
Mwanamke, ana nini cha kumpa mwanaume?
Iko hivi, mwanamke ana majukumu mawili kwa mwanaume wake:
-Kuvuruga mwanaume akiwa ametulia na
-Kumutuliza akiwa amevurugwa
Najua wengine watasema ni...
Rais mstaafu wa Kenya, Uhuru Kenyatta, ambae ni mpatanishi katika mzozo wa kisiasa kati ya Rwanda na Congo,leo amemtembelea rais Kagame wa Rwanda. Ni katika juhudi za kutafuta suruhu la kudumu,ili...
A. Le M23 ne reculera plus de ses positions. Il n'est donc pas question de quitter le Nord ou le Sud-Kivu.
M23 haitatoka katika maeneo iliyo nayo mpaka sasa,kwa maana ya Kivu Kaskazini na Kivu...
Ma ofisa wakuu wa jeshi,wapo hatarini,badhi yao wakiwa wanasakwa huku wengine wakikamatwa. Wanakabiliwa na tuhuma na njama za jalibio la kupindua uongozi wa Tshisekedi.
Rais wa Uganda, Yoweli Kaguta Museveni, ameagiza taasisi husika, kufungua mipaka ya nchi hiyo, na upande wa Congo chini ya uongozi wa M23.
Hii inamaanisha, biashara na safari za kuvuka...
Umezaa na mtu, au ni mmeo,af unamletea nyodo kwamba anatoa hela ndogo au hakuridhishi.
Unapata mchepuko,anaekuridhisha, na hela ndogo hiyounayopewa na uliezaa nae,hakupi mchepuko.
Mwenye kukupa...
Eti kabla ya kwenda jela miaka 30,kisa kummimbisha mwanafunzi,unatakiwa ukumbuke haya:
-kila mimba,ni ya mwanaume.
-Lakini kila mtoto akizaliwa,ni wa mwanamke.
Rais William Ruto ameagiza polisi nchini Kenya kutumia nguvu zaidi dhidi ya watu wanaojihusisha na uporaji au uharibifu wa mali wakati wa maandamano, akisema kuwa wanaopatikana wakifanya vitendo...
GHARAMA ZA KUTOKA NA MCHEPUKO
1.Usafiri 10,000
2.Chumba Lodge 30,000
3.Chakula + Vinywaji 30,000
4.Asante Kwa Kuja 50,000
Jumla 120,000 Brother Unaongeza Umasikini Tu Nyumbani Mpe Mke Hii...
Olivier Nduhungirehe, waziri wa mambo ya nje wa Rwanda, akiongea na waandishi wa habari, alisema, taarifa zote za uwepo wa FDLR na walipo, Rwanda inazo. Waliopo jeshini, walioingizwa kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.