Rwanda Forum

Murakaza neza ku rubuga rwa JamiiForums. Nezerwa n'amakuru n'ibiganiro bitandukanye mu rurimi rw'ikinyarwanda
Siku ya tatu leo baba watoto hapokei simu wala hasomi meseji zangu sijui yuko na nani huko aliko.
2 Reactions
2 Replies
175 Views
Mwendesha mashitaka katika mahakama ya kijeshi nchini DRC, ameiomba mahakama kumpa adhabu ya kifo rais mstaafu wa nchi hiyo, Mhe Joseph Kabila. Anakabiliwa na tuhuma za kutaka kupinduwa serikali...
1 Reactions
2 Replies
627 Views
Kuna usemi kwamba binadamu/Wana adamu tumeumbwa kuwa watumwa wa viumbe wengine nijambo ambalo sio rahisi kuliamini Lakini kiukweli Hali ipo hivyo Yani Kama vile ambavyo mwanadamu...
1 Reactions
3 Replies
267 Views
1. AFC/M23 haitaachia maeneo iliyo nayo mpaka sasa. 2. Baada ya Qatar kuona nguvu ya AFC/M23, inajitahidi kuhimiza serikali isaini makubaliano, kwa sababu waasi hawa wana nguvu ya kutosha kufika...
1 Reactions
2 Replies
251 Views
1 Reactions
3 Replies
193 Views
Mkataba huu ulioandaliwa na serikali ya Qatar,inasemekana rais wa DRC,hakuafikiana nao,kama ilivyotangazwa na waziri mkuu wa Ubeljiji. Badhi ya vigezo, ni kuitaka serikali ya DRC kuachia...
1 Reactions
2 Replies
225 Views
Walimu walikuwa wakitoa mazoezi ya nyumbani(Homework), kwa lengo la kumuwezesha mwanafunzi kujikumbusha aliyosoma na kuangalia uelewa wake, ili aweze saidiwa pale anapoonekana hafanyi vizuri. Leo...
1 Reactions
2 Replies
161 Views
Hapa duniani usije ukahisi kwamba kuna mtu anakuonea huruma...hayupo mtu wa hivyo... Huyu watu anaowatapeli wengi ni wa kipato cha chini tena wagonjwa ambao wanapaswa kuonewa huruma....
1 Reactions
2 Replies
193 Views
Kwenye Mahusiano, kuna vitu vitatu iitakavyomfanya mwanaume uliyenaye akuache mapema: 1. UONGO, 2. DHARAU sa 3. USALITI. Ukitaka mwanaume wako aanze kufikiria kuondoka kwako mdanganye kila...
1 Reactions
2 Replies
251 Views
Msemaji mkuu wa kisiasa, bwana Oscar balinda, nae alikanusha tuhuma hizo, akidai hakuna aliefika na kukusanya taarifa zilizotangazwa, na kwamba iwapo yataonekana makaburi yao au kaburi la pamoja...
1 Reactions
2 Replies
114 Views
Kuna umri ukifika, marafiki wanapungua, pesa haipatikani, na simu haziiti. Hiki kipindi kinaweza kukufanya ujihisi umepotea na kutoka kwenye reli ya mafanikio ya maisha. Lakini amini, hiki huwa ni...
1 Reactions
2 Replies
195 Views
Ladies ukifika miaka 20 harakisha kutafta mtu akuoe. Hapa ndo damu inakuchemka zaidi, ndo maana unahitaji mtu wa kutulia nae, ili isikuchemkie vibaya kikakuramba. Ukifika miaka 25 na hujaolewa...
0 Reactions
1 Replies
170 Views
Nchini Rwanda, mwekezaji wa kilimo bwana Jesse Ratichek, mwenye mashamba ya ukubwa wa Ha 5,600; alisikika akilalamika kuhusu uwezekano wa yeye kufikisha mazao yake,ambayo ni mboga mboga soko la...
0 Reactions
1 Replies
190 Views
Rais wa Kenya, Mhe William, aliweka muwakilishi wa serikali yake mjini Goma, huko mashariki mwa DRC. Wakati huo, Nchi ya Kenya ina balozi Huko DRC. Kitendo hiki, hakiashilii kuwa hata kenya ina...
0 Reactions
2 Replies
219 Views
AFC/M23, imesema haitohudhulia tena vikao vya Doha vinavyolenga kusuruhisha mzozo kati yake na uongozi wa DRC, ikiwa watu wake waliofungwa na serikali hawajaachiwa huru.
0 Reactions
1 Replies
110 Views
Watoto wengi hawana mahausiano mazuri na baba zao, kwa sababu ya kusikiliza ufundi wa mama zao katika kusimulia mabaya ya baba zao. Huyajui ya mama' ako, kwa sababu baba' ako, alichagua...
1 Reactions
2 Replies
149 Views
Tofauti ni kuwa wanaume wanakula kwa kutafuna huku wenzao wanameza zima zima na kulitoa tena.
1 Reactions
2 Replies
121 Views
Wanasemaga kuna wakati unajikuta maamzi yanatokana na koneksheni kati ya ubongo na sehemu za siri. Ni pale ambapo mtu hachagui wa kulala nae,na matokeo yake maradhi na watoto wasio na wazazi wote...
1 Reactions
2 Replies
178 Views
Back
Top Bottom