Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Habarini wana jf mm ni quality control katika kampuni fulani nina miezi 10 nina bsc chemistry. nina maiaka 24 nipo dar- es- salaam....natafuta nafasi ya qc au mkemia katika kampuni au taasisi...
2 Reactions
25 Replies
1K Views
ENEO LA KAZI MBEYA KAZI KUTAFUTA NA KUANDAA HABARI VOICE OVER,NK MSHAHARA MAKUBALIANO YETU tUma cv yako pamoja na vyeti vya taaluma josefevafeva@gmail.com Nimongeza Muda wa Kuomba tena, Hata...
0 Reactions
3 Replies
305 Views
Kwanini Chuo cha kodi (cha serikali) hakitambuliki Ajira portal katika kazi za taxation? Hasahasa katika ngazi ya Bachelor Degree in customs and tax management? Mfano kuna kazi za Mkaguzi wa...
0 Reactions
0 Replies
312 Views
Habari zenu jobless kwa graduates, waajiri kwa wakurugenzi n.k . Niende direct kwenye mada Kutokana na watu wengi kuhangaika kutafuta ajira na wengine kutafuta waajiriwa humu nimeamua kuja na huu...
81 Reactions
1K Replies
107K Views
Habari za wakati huu? Natafuta fundi seremala atakaefanya kazi kwenye karakana yetu, anaeweza kutengeneza kazi za mbao pamoja na MDF. Ofisi ipo Tanga, korogwe... Sehemu ya kulala ipo vifaa vyote...
2 Reactions
15 Replies
817 Views
Ndugu wanabodi, niliajiriwa mwaka 2010 Halmashauri fulani lakini sikwenda ,mwaka huu nikaomba ajira nikapata tatizo limetokea kwenye system inaonekana tayari nimeshaajiriwa. Wakuu naomba msaada...
0 Reactions
94 Replies
27K Views
Natatengeneza tovuti (website) za makampuni, biashara, watu binafsi na n.k. hii tovuti (website) nilimtengenezea mwanajamii forum anaitwa Meneja wa Kampuni japo kwa Sasa haipo mtandaoni (online)...
11 Reactions
33 Replies
1K Views
Hivi karibuni kumefanyika maboresho ya mfumo wa kuomba ajira , Ajira Portal. Pamoja na maboresho haya, kuna baadhi ya feature muhimu ambazo zimeondolewa na kusababisha changamoto kwa watumiaji...
1 Reactions
3 Replies
604 Views
Anonymous
Kuna Changamoto Ambayo Tunaipata Sisi Wahitimu wa Degree Ya Microfinance And Enterprises Development tunakuwa Auto Rejected kwenye Ajira Portal Wakati hata sisi kweye Core za Masomo yote...
1 Reactions
5 Replies
692 Views
Picha linaanza niliambiwa kutakuwa na hostel kwa ajili ya kulala ila cha ajabu kuna chumba chenye magodoro chini na idadi imekamilika kinachofuata ni kulala chini Kipindi cha training kupewq...
4 Reactions
12 Replies
675 Views
Kama wiki mbili niliomba kazi humu na nikafanikiwa kupata tenda ya tigo yas ya kubandika mabango narudi kwenu tena kuomba Kazi au kibarua chochote kitakachokuwepo 🙏🙏
0 Reactions
0 Replies
184 Views
Hii benki imenirudisha enzi za ujima na analogy tulipokuwa tunasubiri mkopo wiki mbili mpaka tatu,yaani naenda siku ya tano, kila sehemu umetishwa na makato yameingizwa ila wao hawataki kunipa...
5 Reactions
32 Replies
2K Views
Habari za muda huu wakuu Kwa changamoto za ajira apa nchini inabidi mdaa mengine ku risk kitu upate unachokihitaji Kila mtu ana ndoto ya kupata nafasi bora ya kazi… na mimi niko tayari kufanya...
2 Reactions
7 Replies
508 Views
Habari, natumaini mpo salama Naishi Moshi Mjini, Mimi ni kijana mchapa kazi na mahiri, hivyo kwa unyenyekevu mkubwa natafuta nafasi ya kazi ya Kibarua, popote Moshi mwenye anafaham naomba anisaidie.
2 Reactions
0 Replies
277 Views
Inawezekana ku apply kazi tena utumishi na huku nipo kwene tasisi ya serikali ndani ya mwaka wa kwanza wa matazamio (probation)?
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Sales Technician (Solar Products) Required Preferably a lady. Experienced in solar sales & installation + customer care. Please send your CV to duniapower@protonmail.com by August 31, 2025.
1 Reactions
0 Replies
202 Views
Habari zenu wakuu,.Mimi ni kijana wa makamo kidogo,born January 1995. Nina elimu ya kidato cha sita, chuo nilifika lakini sikumaliza niliishia mwaka wa pili (udom coed). Mkuu kwa mda sana...
6 Reactions
63 Replies
2K Views
Ninaomba msaada wadau ninapoandika barua ya maombi utumishi address yao lazima iandikwe kwa Secretary, PSRS?
1 Reactions
31 Replies
1K Views
+255613784064 +255610186092 Naomba Jeshi la polisi mzifatilie hizo namba wanadai wapo mbeya . Wakiona MTU anatafuta ajira wanachukua namba wanampigia na kumwambia wana Kazi /ajira Ila...
5 Reactions
7 Replies
665 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…