Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Wakuu habari za Leo. Mimi hapa ni mhitimu wa diploma ya electrical engineering mwaka huu 2024. Naombeni msaada wa namna ya kupata uzoefu na ajira zinazo hususu umeme. Mnisaidie mashirika yote...
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Job Title: Customs Clearance Specialist Loc: Tanga Job Responsibilities: Apply for port charges invoices, arrange payments, and manage customs clearance and cargo release. Apply for vehicle...
0 Reactions
1 Replies
340 Views
Anonymous
Walimu waliohama tangia 2023 hadi leo mishahara yao haijahamishwa licha ya kauli wa Waziri Simbachawene. Imekuwa kero kupata stahiki zetu wanasema sometimes rudi ulikotoka. Naomba usaidie...
0 Reactions
1 Replies
225 Views
Job Opportunity: Secretary at the EU Delegation to Tanzania and the EAC About the European Union and the Delegation The European Union (EU) is an economic and political partnership of European...
0 Reactions
0 Replies
902 Views
Property Manager Position at the Norwegian Embassy in Tanzania The Norwegian Embassy in Dar es Salaam, responsible for representing and promoting Norwegian interests in Tanzania, employs...
1 Reactions
0 Replies
780 Views
Reports to: Operations, Administration, and Finance Manager Department: Finance Position classification: Full-time Location: Lumuma, Kilosa District / Mbuga, Mpwapwa District Preferred Candidate...
0 Reactions
0 Replies
326 Views
Hello habari ya leo wakuu, hongera kwa mapambano ya kutafuta ajira pasipo Kuchoka licha ya kukosa nafasi Leo nimekuja na wazo la biashara ambalo binafsi nimelifanyia kazi kwa zaidi ya miaka 3...
6 Reactions
0 Replies
438 Views
Anonymous
Kuna upendeleo unaoendelea katika upandishaji wa vyeo katika Jeshi la Megerza nchini. Kwa mfano katika vyeo vilivyotolewa vya stafu sajenti kwa mwaka wa fedha 2024/2025, bado hatuelewi vigezo...
0 Reactions
1 Replies
291 Views
Watumishi wa Umma tunapata changamoto kwenye Mfumo wa Employee Self Service (ESS) upande wa mkopo, pale unapolipia deni (mkopo) mfumo unachukua muda mrefu kufuta huo mkopo, haliyakuwa hatua zote...
0 Reactions
0 Replies
295 Views
JUKWAA MOJA LENYE NGUVU YA MVUMO WA MAENDELEO YA KIMKAKATI – BIHARAMULO 2025-2030 Wananchi wa Biharamulo na Mkoa mzima wa Kagera, Usikose kushuhudia tukio kubwa la kihistoria: Balozi Dkt...
1 Reactions
4 Replies
284 Views
Samahan! Naomba kujua ni lini majibu yatatoka ya kuitwa kazini utumishi, tumeshamaliza oral tangu mwezi wa 8 tarehe 21 had leo wakuu,,naomba kujua Hilo muajiri TARURA
1 Reactions
2 Replies
405 Views
Kijana wa kike/kiume Umri kuanzia Miaka 20 na Kuendelea. Uwe na elimu walau Form 4 na Kuendelea Ujue Kusoma na Kuandika na Kuhesabu (hesabu za Jumlisha na Kutoa zipande haswa) Muda wa Kuingia...
6 Reactions
27 Replies
1K Views
Habari zenu wadau. Ninaomba mtu awbaye anamashine ya kukamua juice miwa, Tuwasiliane tufanye kazi, Ama kwa yeyote mwenye office mahali, na anauhitaji usimamizi wa kazi kwa makubaliano ya MALIPO...
1 Reactions
8 Replies
456 Views
Job Opportunity: Data Protection Officer at Yas [NEW VACANCY] Let’s grow together, become our Data Protection Officer at Yas. If this description corresponds to you, grow with us by applying...
0 Reactions
1 Replies
386 Views
Nadhani IKULU Sasa zilitakiwa ziwe wazi, kila mgombea atokee kwke akambe KAZI ya kuajiliwa kuwa Rais Inakuaje Samia analala IKULU? Chanzo ni katiba MBOVU, Kama majimbo hayana wabunge, kama...
10 Reactions
28 Replies
1K Views
Habari Wana Jf🚀 Stori Yangu ya Maisha – Safari ya Kupambana na Changamoto! Hello wana jf! 🙌 Leo nataka kushare na nyinyi hadithi yangu ya maisha – jinsi nilivyopambana na masomo huku nikicheza...
14 Reactions
49 Replies
3K Views
Rejea kichwa cha hapo juu mimi ni kijana umri miaka 28 nina masters degree in computer science vijana wezangu,kaka zangu , baba zangu, mama zangu na wazee wangu naomba mnisaidie niweze kutengeneza...
2 Reactions
6 Replies
617 Views
Habari za humu wakuu,,Mimi ni muhitimu wa shahada ya Taaluma ya Maendeleo (BA-DS) kutoka University of Dodoma mwaka 2022. Lengo la kuandika huu uzi ni kuomba connection ya nafasi kujitolea...
0 Reactions
2 Replies
363 Views
Mimi ni kijana wakiume mwenye Degree ya sheria, Naamini hapa Jamii forums Kuna watu wengi na wenye michongo, hivyo Naomba nitumie nafasi hii kuomba yeyote mwenye nafasi ya kazi either...
1 Reactions
9 Replies
750 Views
Habari Wana JamiiForums Nilikuwa natafuta kazi japo nipate hata intern kusukuma maisha Elimu yangu ni Shahada ya manunuzi (Bachelor Degree in procurement and supply chain management) Pia nina...
4 Reactions
8 Replies
942 Views
Back
Top Bottom