TANGAZO LA AJIRA
Kampuni: The Global Positive Mind Set Center (GPMSC) – FINTECH
Mahali: Mwanza, Tanzania
Kampuni ya The Global Positive Mind Set Center (GPMSC) inakaribisha maombi ya ajira...
Habari Wakuu,
Nipo Dar es salaam
Ni Dereva
Natafuta gari ndogo ya hesabu (bolt) kwa week.
Mwenye nayo tafadhali naomba unitafute nina uhitaji sana.
0766445556
Wakuu wa kazi, upweke utaniua mwenzenu na nimeokoka sitaki kuwa na nyumba ndogo
Mwenzangu ni mwalimu huko machakani, elewa neno machakani, ni machakani haswaaa.
Sasa nilijipa matumaini...
Kuna nafasi TANROADS walizozitangaza tangu mwezi wa 6, 2025 kupitia Utumishi kuna mwana nilimuazima laptop yangu kwa ajili ya kufanya maomba juzi kati naonana nae namuuliza vipi interview anasema...
Ni kazi inayodharauliwa na kubezwa sana na watu wengi lakini je uhalisia ukoje?
Nimepiga stories mbili tatu na walimu wa shule za msingi hasa ukanda wa Temeke. Darasa la nne wako watoto 450+...
Wakuu nawasalimu.
Kama kichwa kinavyojieleza.
Mimi kijana wa Kitanzania. Ualimu ndio Fani yangu(I'm very proud) hasa kwa wale wazazi au walezi wanaopenda watoto wao wafundishwe nyumbani kwao...
Habari zenu wakuu,
Natafuta kazi ya usafi katika maeneo ya dar es salaam.
IKiwa unafahamu taasisi, kampuni au mtu binafsi anayehitaji mtu binafsi anayehitaji mtu wa kuhakikisha mazingira...
Yaan vyet viko viwl je sio shida?
Cheti cha kuzaliwa nilichoweka ajira hakionekani vizuri ila nime ki certfy hvo nikaamua kuweka na kinachoonekana vizuri ambacho hakija pigwa muhuri
Natasfiri vitabu kutoka lugha Kiingereza kwenda Kiswahili bei 5000 Tsh (kurasa 1 -> 100) na Bei 10,000 Tsh (kurasa 1 - 490), na Bei 15,000 Tsh (1 - 800) na ku ndelea kwa kitabu kimoja , nicheki...
Habari za Jioni, Ndugu zangu. Naomba majibu mazuri ndugu zangu. Nimemaliza Bachelor of Business Administration in Accounting. Naomba kujua Private Sector (NGO'S) or Public Sector zinazolipa...
Jinsia: Kike
Uzoefu: Mwaka 1
Vigezo: 1.Awe anajua kutumia computer na kutumia application zote muhimu za Microsoft Office kwa ajili ya huduma za Stationery
2. Kufanya application zote muhimu...
Called for Interview UTUMISHI – Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) August, 2025
Job recruitment
Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) on behalf of various government...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.