USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 12,015
- 28,387
JUKWAA MOJA LENYE NGUVU YA MVUMO WA MAENDELEO YA KIMKAKATI – BIHARAMULO 2025-2030
Wananchi wa Biharamulo na Mkoa mzima wa Kagera,
Usikose kushuhudia tukio kubwa la kihistoria:
Balozi Dkt. Emanueli John Nchimbi
Mgombea Mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Eng. Ezra John Chiwelesa
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Biharamulo Magharibi
Wote wawili watasimama jukwaa moja kuwasilisha dira ya maendeleo ya kimkakati kwa miaka 2025–2030, dira itakayobadilisha Biharamulo na kuleta mafanikio ya kweli kwa wananchi.
Tarehe: 6 Septemba 2025
Uwanja wa Mpira wa CCM – Biharamulo
Usipange kukosa jambo hili kubwa!
Kwa pamoja tunajenga msingi wa maendeleo endelevu ya Jimbo letu na Taifa kwa ujumla.
TUNA ANZIA TULIPO ISHIA