Application Period
10/01/2026 – 24/01/2026
Duties and Responsibilities
To collect official statistical data;
To design survey instruments and quality control measures;
To prepare and compile...
Application Period
10/01/2026 – 24/01/2026
Duties
Duties and Responsibilities
To assist in developing and implementing effective anti-fraud strategies, frameworks and guidelines for the...
Application Period
10/01/2026 – 24/01/2026
Duties and Responsibilities
To drive the Institute’s motor vehicles;
To keep motor vehicles in good condition and report any defects to the supervisor...
Anahitajika mfanyakazi mwenye taaluma zifuatazo:
Diploma ya business management
Diploma ya business handling
Social skills
Uelewa wa masoko na usafi
Kazi ni ya mini supermarket pamoja na...
Anaitajika mfanyakazi mwenye taalum izi
Diploma ya business management
Diploma ya business handling
Social skills
Market idea na usafi
KAZI ni ya mini super market pamoja na butcher ivyo awe...
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI IDARA YA UHAMIAJI
TANGAZO LA AJIRA
Kamishna Jenerali wa Uhamiaji kwa Mamlaka niliyonayo chini ya Kanuni Namba 11(1) ya Kanuni za...
Wakuu mimi ni mhandisi, kwa sasa nipo kwenye moja ya taasisi wizara ya nishati.
Nataka kuhamia kwenye moja ya taasisi zifuatazo chini ya wizara ya uchukuzi. Je ipi ni taasisi nzuri kuhamia yenye...
Mahali pa Kazi: Wilaya ya Meru, Mkoa wa Arusha
Ninatoa malalamiko yangu hadharani dhidi ya Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) kuhusiana na makato ya mkopo yaliyofanyika kimakosa na...
Nahitaji ajira elimu kidato cha 6 sema kidato sio muhimu, cha msingi mshahara. Nipo Dar Es Salaam
Nimepga JKT hata wenye connection za majeshi njooni mnipe .
Asante
Habari za jioni wakuu
Kijana mtiifu,mchapakazi na mwenye akili timamu.Nipo mbele yenu kuomba kazi yoyote halali ili niweze kupata pesa ya kuendesha maisha yangu
Elimu yangu ni kidato cha 6...
Salaam za heshima,
Natumaini ujumbe huu unawafikia mkiwa salama.
Mimi ni kijana wa kiume, mwenye umri wa miaka 26, ninaishi Mbagara Kuu. Elimu yangu ni kidato cha nne.
Naomba kazi au kibarua...
Habari wakuu.
Mimi ni Kijana wa miaka 25.
Napatikana DSM
Elimu yangu shahada ya Ualimu.
Natafuta ajira /Kazi
Uzoefu wangu
Nimefanya Kazi ya Microfinance ,hivyo nipo na huo uzoefu wa...
Hello Members wa JF...
Kama nilivyotangulia kusema kwenye kichwa cha habari. Ni kweli niko seriously natafuta agents wanaohusika na kazi za uarabuni. Niko tayari kufanya kazi za ulinzi...
Hello wakuu,.
Nahitaji maafisa mauzo (Mawakala wa mauzo) kwenye bidhaa ya mikopo kwa dhamana ya gari,.
Awe ni mchangamfu na mwenye uzoefu kwenye mauzo na kukutana na wateja wapya. Awe anaekaa mkoa...
Hello, kwa unayeitaji huduma kama
1.urejesha username and password
2.KUFUNGUA akaunti kama NSSF portal, AJIRA portal, utumishi portal NK
3.Kuapply kazi kwa mpangilio mzuri wa documents zako...
Habar wakuu,
Natumai mko poa sana
Kama kichwa cha habar hapo juu, naomba connection ya nafasi ya ajira ya medical lab na nitatoa mshahara wote wa mwezi wa mwanzo kama shukrani kwa atakae...
Natafuta kazi za kuangalia Nyumba kama vile usafi nakutuzia Nyumba mpaka pale utakapokuja ikiwa na mtu wa kuangalia, pia kama una chochote kile kulinda hapo Nyumba hapo pia nitakilinda ,
Miaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.