Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Habari, naomba kuwasilisha kero inayotukabili sisi watumishi wa Idara ya Uhamiaji, tumekuwa tukihamishwa bila malipo hali iniyopelekea kuteseka kukamilisha uhamisho. Tunatambua kuwa sisi ni kada...
2 Reactions
19 Replies
555 Views
Ni sawa na sh ngapi kwa mishahara ya tfs kwa sasa? Kwa mwenye uzoefu wakuu.
0 Reactions
2 Replies
309 Views
Pascally Mayalla ALIPEWA free pas ya IKULU siku Magufuli anaongea na vyombo vya habari kutoka Kwa rafiki yake Gereshoni enzi hizo, kilichojili baada kuingia IKULU hakikuwa TU balaa kwake Bali ndo...
3 Reactions
12 Replies
617 Views
Anonymous
Huyu kiongozi wetu, ZCC wa Kanda ya Ziwa, amekuwa kero kubwa sana kwa wafanyakazi wote wa TFS hapa! Moyo wangu unawaka kwa huzuni na hasira wakati nikiandika hili, kwa sababu juhudi zetu zote za...
3 Reactions
9 Replies
666 Views
Habari za muda huu Wana jamiiforum. Aisee Kuna ishu ya dogo langu mmoja nashindwa kujua namsaidiaje huyu dogo alipata kazi serikalini mwezi December then akapeleka vyeti kwa ajili ya...
3 Reactions
30 Replies
814 Views
Anonymous
Chuo cha Wesley College kilichopo Mwanza chini ya Kanisa la UMC halijalipa wafanyakazi wake kwa muda mrefu sasa. Wafanyakazi wa chuo cha Wesley kilichopo Mwanza mlango mmoja kilichopo chini ya...
1 Reactions
2 Replies
157 Views
Habarini wakuu. Mimi ni quality control lab technician nina bsc chemistry pia Nina uzoefu wa mwaka na miezi minne katika steel industry. Natafuta kazi viwandani,migodini kote nafit. Ukinisaidia...
0 Reactions
4 Replies
244 Views
Habari za Majukumu wakubwa kwa wadogo. Nakuja kuomba kwa dhati kabisa kwa mtu menye Bajaji / Pikipiki na unaitaji Dreva makini, Mwerevu na muaminifu Mimi Nina sifa na vigezo, Nina uzoefu wa miaka...
5 Reactions
22 Replies
2K Views
Mimi ni Mfanyakazi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam kitengo cha ‘revenue collector’ katika masoko. Changamoto tunayopata Wafanyakazi wa Mkataba wa Halmashauri ya yetu: MOJA: Mshahara...
3 Reactions
3 Replies
357 Views
Awe msichana Ujuzi wa kutumia mitandao ya kijamii kwa ajili ya kuitangaza biashara Atapewa smartphone Mwezi mmoja kwa ajili ya kujifunza, atapewa nauli na pesa ya kula tu kwa siku. Mwezi unaifuata...
0 Reactions
3 Replies
496 Views
Anonymous
Mwaka 2025 Mwezi wa 10 Serikali ilitangaza ajira kwa Kada ya Elimu na Afya, ajira zikatolewa kweli na mwisho Waziri kasema zoezi limeshafungwa ilihali kwenye Kada kama Tabibu Daraja la Pili...
0 Reactions
0 Replies
218 Views
Anonymous
Tunalazimika kutoa malalamiko yetu kwa uwazi na kwa msisitizo mkubwa kwa Baraza la Madaktari Tanganyika kuhusiana na ucheleweshwaji usio na maelezo wa matokeo ya Post Internship Examination...
0 Reactions
2 Replies
317 Views
Our NGO is looking for passionate trainers and mentors to support a program empowering visually impaired youth with digital, workplace and entrepreneurship skills. We are looking for experts in...
0 Reactions
0 Replies
118 Views
Anonymous
Ajira mpya Halmashauri ya Wilaya ya Bahi hatujalipwa pesa ya kujikimu sisi ni Watumishi wapywa wa Mwezi Wa Nane 2025. Ukifatilia wanasema hawana vifungu vya Kulipa. Tunateseka sana, tunaomba...
1 Reactions
2 Replies
212 Views
Anonymous
Naomba kuwasilisha suala hili kwa lengo la kupata ufafanuzi kutoka kwa uongozi wa TaESA au mamlaka husika. Baadhi ya waajiriwa wa muda wa Wakala wa Huduma za Ajira Tanzania (TaESA) hatujalipwa...
1 Reactions
6 Replies
411 Views
Heshima kwenu wakuu! Nahitaji developers watatu (3) wasio na ajira rasmi, kuna kazi watatakiwa kuifanya na baaada ya hapo kutakuwa na ajira rasmi kwao kwaajili ya kukiendesha walichokiunda, ajira...
7 Reactions
47 Replies
4K Views
Je, unahitaji huduma za usafi zenye viwango vya kitaalamu? Jibu sahihi ni 𝗔𝗺𝗶𝗰𝗮𝗯𝗹𝗲 𝗚𝗿𝗼𝘂𝗽 𝗛𝗼𝗹𝗱𝗶𝗻𝗴𝘀 𝗟𝗶𝗺𝗶𝘁𝗲𝗱 (𝗔𝗺𝗶𝗰𝗮𝗯𝗹𝗲 𝗖𝗹𝗲𝗮𝗻𝗶𝗻𝗴 𝗦𝗲𝗿𝘃𝗶𝗰𝗲𝘀) — kampuni iliyosajiliwa kisheria chini ya Sheria za Jamhuri...
0 Reactions
0 Replies
148 Views
Kwa uzoefu wangu ya miaka mitatu, 1. Nimefanya kazi na wateja zaidi ya 400 2. Nimetumia platform zote za freelancing 3. Nimefanya kazi zaidi ya masaa 10,000 4. Nimetengeneza chain ya clients...
3 Reactions
23 Replies
1K Views
Consulting Associates Wanahitajika.
1 Reactions
7 Replies
246 Views
Heidelberg Materials Tanzania Recruitment 2026 – Official Job Vacancies Heidelberg Materials Tanzania has opened a new recruitment round through its official recruitment portal, presenting...
1 Reactions
1 Replies
255 Views
Back
Top Bottom