Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

JOB VACANCIES 1. JOB TITLE: TRUCKS DRIVERS (2 POSTS) The Company is looking for an experienced Truck Drivers to serve our supply chain logistics department in a safe and timely manner. He/she...
3 Reactions
2 Replies
958 Views
Mkulazi Holding Co. Ltd (MHCL) is a company owned by the National Social Security Fund (NSSF) and Prisons Corporation Sole ( ). The Company was established on 6th September 2016. The main...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Moja ya kikwazo cha kutokupata kazi au kuchelewa kupata kazi basi huenda ikawa ni referees wako. Unaweza je kumuweka mtu kuwa refa wako wakati hana namba zako, yani mawasiliano baina yenu ni...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
JOB VACANCIES Click on each job to read full details and apply/BONYEZA kila moja hapo chini kusoma zaidi na kuapply: 1. Project Director- (1 Post) 2. Business Analyst- (1 Post) Jhpiego...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu ni matumaini yangu mko salama, Natambua JF ni platform ambayo inakukutanisha na kila aina ya watu ikiwa ni kimawazo au kwa misaada mingine mbalimbali. Nirejee kwenye mada halisi. Nimekuja...
0 Reactions
0 Replies
868 Views
Habari, Tunatafuta mafundi wawili wanaoweza kushona vizuri nguo za kike na za kiume. Ofisi ipo Dar es salaam kata ya GOBA wilaya ya ubungo. Ofisi ni mpya. Mwenye connection tuwasiliane inbox. Ahsante
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Anahitajika, clearing and forwarding agent mwenye uzoefu na kutambuliwa na aliyesajiliwa na mamlaka ya mapato Tuwasiliane inbox
2 Reactions
8 Replies
2K Views
TITLE: Education Officer – Formal TEAM/PROGRAMME: Education/Response Team LOCATION: Kigoma Region GRADE: 4 CONTRACT LENGTH: 1 year, renewable CHILD SAFEGUARDING: Level 3: √ the post holder will...
0 Reactions
1 Replies
960 Views
Hello wakuu, Kuna jamaa mtaani wamedai wamepata kazi bandarini, ambayo malipo yake ni Tsh 18,000 kwa siku. Hii ni kweli jamani? maana jamaa wana elimu ya kawaida tu wengine form4 na wengine std7...
2 Reactions
169 Replies
37K Views
Anahitajika kijana wa jikoni, Awe mtaalam wa kupika chipsi, mishikaki, supu, na mazaga zaga yote kwa ujumla. awe mbunifu, sehemu ya biashara ni Tabata (Dar) ni kwenye bar. Awe na nia na kazi...
2 Reactions
2 Replies
999 Views
Anahitajika web developer haraka sana. Awe na uwezo wa kufanya coding from scratch ili atengeneze website ya chuo yenye muonekano kama hii hapa (bofya linki) https://www.bethel.edu/seminary/...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
JOB VACANCIES Click on each below to read full details and apply/ BONYEZA kila moja hapo chini kusoma maelezo kamili na kuapply: 1. Administrative Assistant- (1 Post) 2. Accounting Technician -...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wakuu, naamini JF ina watu muhimu na makini sana kwa nchi hii. Mimi nafanya kazi katika Auditing firm hapa dar es salaam kama Tax Accountant, lakini pia nafanya external Audit maana ukiwa...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Ndugu zanguni anahitajika kijana wa kuuza chipsi mwenye kuweza kutoa sahani zaidi ya 20 kwa ndoo moja. Eneo ni Mjimwema (Kigamboni) Posho ni 5000 kwa siku kula mchana na usiku ni ofisini Mengine...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Position: Clearing and Forwarding Manager Qualification and Experience: Diploma in Clearing and Forwarding 5 years of experience in shipping and clearing and forwarding. Responsibilities...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Fursa ya Ajira kutoka DSJ Tuma CV yako kwenda: application@uti.ac.tz Sambaza upendo huu kwa uwapendao
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Salaam wakuu. Mwishoni mwa mwaka jana chuo kikuu cha ardhi kilitangaza nafasi za kazi na mwisho wa kutuma maombi ilikuwa ni tarehe 27/12/2020. Naomba kama kuna waliofanikiwa kuitwa kwenye...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
3 Reactions
0 Replies
849 Views
Wadau natumai mu wazima. Nimeziona kazi za Steigler Gauge zile 800+ nina vigezo vya kuomba . Nimepata changamoto kwenye kutuma hzi application. Naombeni msaada ili nitume: Ila kwenye tangazo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
JOB VACANCIES See the document below for more information:
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom