Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Habari zenu wana jf Natafuta kazi yeyote ya kujitolea kama messenger unitume popote nitaenda mahala popote nitaenda kwa gharama nafuu tuu Ukinilipa hata elfu moja au mbili kwa siku ntashukuru...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Leo tuweke mafaili ya ofisini pembeni na tuzungumze ukweli ambao Human Resources (HR) wako hatakuambia kamwe. Tangu tukiwa shule ya msingi tulikaririshwa fomula moja ya kijinga sana: "Soma sana...
23 Reactions
44 Replies
1K Views
Wakuu! Nimekuwa si mdau mkubwa wq jamii forum ila nina uhakika humu kuna wadau muhimu na sahihi sana kwa ufikiaji lengo. Ninatafuta nafasi, sapoti kutoka kwa mtu au wqtu au mazingira sahihi kwa...
1 Reactions
2 Replies
118 Views
Mtihani unafanyika kwa njia ya kidigitali, cha muhimu unatakiwa ufike kwenye kituo utakachopangiwa siku ya interview mapema kabla ya saa 1 asuhuhi maana huwa kuna heka heka za hapa na pale...
12 Reactions
45 Replies
8K Views
Anonymous
Mimi ni ajira mpya mwezi wa 10 Halmashauri ya Mbogwe, nilikopa kupitia ESS mkopo wa Shilingi Milioni 10 kwa miaka 8 kufanyia biashara ya madini bahati mbaya nimefeli. Kinachoniumiza kwa sasa...
14 Reactions
51 Replies
1K Views
Anonymous
Kuna changamoto katika waombaji wa kazi katika mfumo wa ajira.go.tz kutokubaliwa na mfumo na ikitokea ukiitwa interview wakaguzi hawaturuhusu kufanya usaili. Tulivyouliza shida ni nini jibu toka...
1 Reactions
7 Replies
252 Views
Advertising & Promotions, Marketing Research, Entertainment, Printing, General Traders and Supplies Nkrumah St/ Clock Tower, Plot No 685/86, Block 129, P.O. Box 1078, Dar es Salaam – Tanzania...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
TRUSTED INTER-BUSINESS LTD is a legally registered company in Tanzania under the Business registration and Licensing Agency (BRELA) and Tanzania Revenue Authority (TRA). It was established on 8th...
7 Reactions
156 Replies
18K Views
TRUSTED INTER-BUSINESS LTD is a legally registered company in Tanzania under the Business registration and Licensing Agency (BRELA) and Tanzania Revenue Authority (TRA). It was established on 8th...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Hi... My name is Edward Chapa, -I have a marketing research company known as Trusted Research Company! PLEASE LET TRUSTED- RESEARCH & CONSULTING MANAGE YOUR NEXT MARKET RESEARCH FIELD WORK PROJECT...
1 Reactions
32 Replies
5K Views
Anonymous
Kuna kero kubwa inayowakumba vijana wengi waliokuwa wakijitolea kama waongoza watalii (Tour Guides) katika Taasisi ya TAWA kwa muda mrefu sana. Wapo vijana wamejitolea kwa miaka mingi wakifanya...
1 Reactions
2 Replies
184 Views
Anonymous
Nilikuwa napenda kuwasilisha changamoto yangu kubwa ni upande wa chuo ambacho nimesoma "Chuo cha Taifa cha Utalii/ National College of Tourism- NCT), tumekuwa na changamoto kubwa ya upataji wa...
1 Reactions
6 Replies
299 Views
Anonymous
Kuna watu walifanya interview za LGA & MDA kupitia Sekretarieti ya ajira Serikalini 17/12/2025 oral ila hadi leo majibu hayajatoka hata kwa mtu mmoja. Tunachowaza ni kwamba walifeli wote au nini...
2 Reactions
1 Replies
276 Views
Anonymous
Kuna Watumishi ambao wana nafasi katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa hapa Arusha wamekuwa ni kero kubwa kwa baadhi ya Wafanyakazi. Kati yao kuna Mhasibu na Katibu Tawala Msaidizi (Utawala), wamekuwa...
0 Reactions
1 Replies
191 Views
Zimesalia siku mbili usaili wa walimu daraja la IIIC uanze. Hata hivyo, Daraja la IIIC ulishaanza kwa wale ambao masomo yao hayakuwa na usaili wa kuandika ila usaili wa mazungumzo pekee. Kwa wale...
2 Reactions
25 Replies
10K Views
Naomba msaada. Anayejua maswali yanayotoka kwenye usaili (Afisa utamaduni) anisaidie..
2 Reactions
16 Replies
415 Views
Anonymous (c9be)
Ninaomba mamlaka husika ziangalie kero za Wafanyakazi kwenye baadhi ya kampuni za ujenzi wa barabara nchini. Mimi ni mmoja wa wafanyakazi kwenye kampuni ya ujenzi wa barabara na tunakutana na...
2 Reactions
2 Replies
163 Views
Anonymous
Imefika wakati sasa wa kuizungumzia tamaduni inayozidi kushamiri katika baadhi ofisi zetu za umma: Kitendo cha kufanya likizo ya mwaka ionekane kama "kosa la jinai." Kwa watumishi wengi, kitendo...
1 Reactions
0 Replies
238 Views
Habari zenu ndugu zangu, Naomba mwenye connection au anayeweza kunisaidia kupata kazi ya ULINZI, Kampuni ya SGA au G4S anisaidie ndugu zangu. Nina miaka 29 Nina mafunzo ya JKT - Miaka miwili...
9 Reactions
23 Replies
670 Views
Habari wanajukwaa, Naitwa fundi mwenye uzoefu mzuri katika fani ya umeme na vifaa vya kielektroniki, napatikana Dar es Salaam. Nimekuwa nikihudumu kwa ufanisi katika kazi mbalimbali zinazohusiana...
0 Reactions
2 Replies
489 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…