Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Wakandarasi wanaofanya kazi SGR tuna kero moja kwanza mshahara wa Serikali ilipopandisha mwanzo kabla hawajapandisha ilikuwa kwa siku ni shilingi 17,200 kwa madereva na ma operator, ila kwa...
1 Reactions
4 Replies
212 Views
Wakuu, hii mamlaka ya serikali inayoendeshwa kwa kodi za wavuja jasho ina unyeti sana kiasi cha watumishi wake kuenjoy pepo duniani? Cjajua Taasisi zingine kama TRA mishahara yao ikoje ila...
8 Reactions
234 Replies
59K Views
Wahenga wanasema kumpiga teke chura ni kumuongezea hatua sasa Serikali imenikaanga mtaani mwaka wa saba huu bila ajira nikatafuta chimbo likawa linanipa dor za kulipa bills zote za muhimu na...
6 Reactions
22 Replies
520 Views
Anonymous
Kampuni za MM CONNECT na PENT OPTIMISM ambazo zina ubia wa kuendesha maduka ya Vodacom zinachkua vyeti vya kitaaluma vya wafanyakazi wake na kukaa navyo kama udhamini kinyume na utaratibu na...
1 Reactions
1 Replies
128 Views
Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (TAMISEMI), Dkt. Festo Dugange, ametoa agizo kuwa waajiriwa wote wapya wa Serikali lazima wafanye kazi kituo kimoja kwa muda usiopungua miaka mitatu (3) kabla...
2 Reactions
6 Replies
475 Views
Anonymous (d932)
Walimu Temeke hela za likizo hatujalipwa toka 2019, Ni huzuni tupu. Pesa nasikia wanazo ila wanaziweka fixed acc ziwazalishie, ni maumivu makubwaa. Tunaomba mtupazie Sauti. Mimi ni mwalimu...
0 Reactions
1 Replies
97 Views
Anonymous (d932)
Mimi ni mdau, nipo Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema, naomba kuwasilisha kero kuhusu malipo ya posho za kujikimu katika Idara ya Elimu. Walimu wameripot kazini lakini hela za kujikimu inakuwa...
0 Reactions
3 Replies
149 Views
Anonymous (d932)
Sisi ni ajira mpya Wilaya ya Mafia, Mkoa wa Pwani, kada ya afya ni miezi mitatu sasa hatujalipwa pesa zetu za kujikimu na tumefuatilia kwa viongozi wa wilaya lakini majibu hayaridhishi kabisa...
0 Reactions
1 Replies
131 Views
Poleni sana. Mmemaliza interview Tupeane maswali yalikuwaje. Kwa anayekumbuka, weka swali unalolikumbuka.
0 Reactions
1 Replies
122 Views
Anonymous (c723)
Ndugu Watanzania, nimepokea malalamiko ya Waalimu kwamba Mkurugenzi wa Mbinga DC anawanyanyasa sana Walimu wa Mbinga DC. Kwa mfano, Mkurugenzi huyo huwaita walimu wote kufika ofisini kwake bila...
5 Reactions
22 Replies
533 Views
Anonymous
Serikali inahimiza watu kusoma kozi za Sayansi huku kukiwa na nafasi ndogo Sana ya wao kutekeleza walichokisomea. Watu wa Sayansi Asilia pale UDOM wamesahaulika. Mfano, Bsc. Physics wanasumbuka...
0 Reactions
10 Replies
364 Views
Usaili wa ajira (interviews) husababisha hofu na msongo wa mawazo kwa vijana wengi kabla au baada ya kutoka chumba cha usaili. Tatizo hilo hutokana na hofu inayojenga wakati wa kujibu maswali...
46 Reactions
48 Replies
88K Views
Unashauriwa kuvaa rangi ya Blue, Kijivu au zambarau. Kamwe usivae nyekundu kwenye usahili kwa sababu inaashiria kuwa hujali kuhusu maswali kwa sababu yote utayajibu hivyo ni kama umewadharau.
1 Reactions
3 Replies
178 Views
Habari wanajukwaa Kuna mtu aliomba kazi kupitia ajira portal muda wa kuita interview hajawa shortlisted na sababu ni hajaambatanisha registration certificate ambapo yeye ali attach Afanyeje ili...
1 Reactions
9 Replies
381 Views
MITANDAO YA KIJAMII JINSI INAVYOLIPA!!! FURSA YA KIPEKEE YA KUKUZA KIPATO CHAKO! Je, unatafuta njia ya kuongeza kipato chako kupitia mitandao ya kijamii ukiwa nyumbani au popote ulipo? Karibu...
0 Reactions
0 Replies
134 Views
Habarini nilikua naombeni kazi yoyote ya kariakoo kama ya kuuza duka, kupeleka mizigo ,kutumwa hapa na pale ili nipate chochote kama utawezq kuniunganisha pia nitashukuru sana
9 Reactions
18 Replies
349 Views
‎Habari Member wa Jf ‎Mimi ni Kijana kutokea Mbeya (29) nina Shahada ya Uchakataji na Uchenjuaji Madini ‎(Metallurgy and Mineral Procesing Engineering) ‎ ‎Ambapo naweza kufanya kazi kwenye: ‎-...
2 Reactions
13 Replies
275 Views
Interview za Ajira portal ni lugha gani inatumika
2 Reactions
3 Replies
228 Views
Katika Halmashauri ya Kibondo, upandaji wa Madaraja hatuna elimu na wengine hadi miaka 5 inapita bila kupanda daraja, je! Kwanini tusiambiwe ukweli ili mtu ukaishi bila kulaumu kiongozi? Suala la...
3 Reactions
10 Replies
382 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…