Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

wana jf,samahan mshahara kwa intern private sector upoje na je mda ukiisha unaweza update?
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Eneo la kazi ni Kibara, Bunda. Awe jinsia ya kike, asiwe binti mdogo (awe Kati ya Miaka 20 hadi 40). Awe na uwezo wa kutumia Uhuru binafsi maana muda mwingi wenye nyumba hawapo, wanakuwepo tu...
1 Reactions
5 Replies
905 Views
Salaam! Kwa Wote. Awali ya yote tuzidi kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutuwezesha kufika 2022 salama, tukiwa tunauanza mwaka tunaendelea kutafakari na kuweka malengo ya kupiga hatua kiuchumi...
1 Reactions
0 Replies
744 Views
Mambo job seekers wenzangu. Nimepata kazi kwenye kampuni ya kuuza pedi kama mtu wa sales. Mshahara laki 8 kabla ya makato ila naona aibu kuifanya sababu naona kama sitokuwa comfortable kuuza...
12 Reactions
59 Replies
6K Views
1 Reactions
1 Replies
402 Views
0 Reactions
0 Replies
545 Views
Habari wakuu. Kuna kazi ya kuedit document ya maneno 17000. Kuna original na hii iliyokaa vibaya ambayo inatakiwa iwe kama original. Ni pm kama unaweza. 15000. *WAKUU NIMESHAPATA MTU
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Happy new year. Wale mnaotafuta Kazi ,nendeni haraka Canada,mnaweza wasiloana na Balozi wetu kule awafanyie connection. Sio mumelundikana Bongo na kulia Lia tuu hamtaki kujiongeza. Kazi hizi...
4 Reactions
35 Replies
8K Views
Habarini viongozi, Naomba kama kuna mtu YEYOTE anefanya au aliewahi fanya kazi na World Vision anielekeze namna ya kuupload CV kwenye website yao ya ajira.
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wadau, Naomba kufahamu vitu viwili vitatu kuhusu hizi position mbili za PCCB kuna moja inaitwa investigation officer na nyingine assistant investigation officer, nimeona mara nyingi watu...
2 Reactions
28 Replies
16K Views
Wapendwa kwema? Nilifanya interview kwa kampuni flani ya wahindi hapa mjini Dsm kwa nafasi ya umeneja mauzo,interview ilienda vyema,candidates tulikua kama 7 hivi,sisi kutoka chuo tajwa tulikua...
14 Reactions
62 Replies
8K Views
WanaJamvi ambae amewahi kushiriki Usaili (written) Wa PCCB, nataman kufaham ni maswali gani uulizwaa, mdogo wangu ameitwa interview Dodoma hapo kesho.... Tushirikishane
1 Reactions
5 Replies
4K Views
Habari wakuu, mimi ni fresh graduate chemical and process engineer nahitaji kazi yoyote unayohusiana na course hii. Natanguliza shukrani.
1 Reactions
0 Replies
448 Views
Natafuta mwalimu wa daycare, shule ipo maeneo ya kawe inapendeza mtu asitoke mbali. Kwa mawasilano zaidi wasap 0767191212. Usipige wala kubeep tuma sms.
1 Reactions
5 Replies
820 Views
Kwa sasa nipo dar es salaam shughuli zangu ni mtu wa IT ambaye nashughulika na maswala yafuatayo 1.computer training programs 2.computer maintance and repair 3.security systems installations...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari wakuu, Mimi ni operator wa mitambo ya kutengeneza barabara , nimesomea chuo cha mitambo cha Veta Shinyanga , Nina cheti na leseni pia. Ni operator wa mitambo ya Motor Grader, Hydraulic...
4 Reactions
15 Replies
5K Views
Habari wakuu! nahitaji boda ya mkataba wa mwaka mmoja iwe ni mpya tu. Nipo Mbeya mjini. Asanteni.
1 Reactions
11 Replies
953 Views
Wana familia wa JF, Amani iwe kwenu Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, mimi ni Mhenga mwenye umri wa miaka 36. Nimerudi nchini wiki mbili zilizopita baada ya kumaliza masomo yangu ya Shahada...
6 Reactions
47 Replies
6K Views
Habari zenu wakulungwa!! Naomba kujua mtu ambaye ataenda/yuko invited kwenye usaili wa PCCB Jumamosi ijayo pale Dodoma? Anayetokea Dsm, Mwenye private car tuchangie mafuta twende naye Asante
3 Reactions
10 Replies
3K Views
Back
Top Bottom