Usahili TAKUKURU

Usahili TAKUKURU

KASULI

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2020
Posts
599
Reaction score
681
WanaJamvi ambae amewahi kushiriki Usaili (written) Wa PCCB, nataman kufaham ni maswali gani uulizwaa, mdogo wangu ameitwa interview Dodoma hapo kesho....
Tushirikishane
 
Kwanza jifunze kiswahili. Kama hujui lugha, itakuwa ngumu. Mfano, kiswahili hakuna maneno "Usahili, Kuhairisha, Mihamala, ongera, jiami, n.k. Ukielewa, sema nikupe mambo ya mengine.
 
Kata mpunga uache kuweweseka....[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom