Naomba kuelezwa juu ya nafasi za TAKUKURU, Investigation Officer na Assistant Investigation Officer na mafunzo ya Polisi

Sales93

Senior Member
Mar 5, 2014
146
73
Habari wadau,

Naomba kufahamu vitu viwili vitatu kuhusu hizi position mbili za PCCB kuna moja inaitwa investigation officer na nyingine assistant investigation officer, nimeona mara nyingi watu wakiitwa kazini wanatakiwa wakaripoti chuo cha mafunzo cha upolisi kidatu,

Je hii kazi hasa hasa kwa upande wa investigation officer inamaanisha ukiipata moja kwa moja unakuwa polisi au kule ni kupata mafunzo na je kwa upande wa hali ya mafunzo je ni ya hali gani na pia kwa upande wa roles and responsibilities ni zipi ambazo anakuwa nazo huyu investigation officer? mwenye ujuzi naomba anisaidie wakuu.
 
Kasome sheria yao! Itakueleza majukumu na kila kinachokupasa! Kasome regulations zao,kikubwa uwe mwadilifu, uadilifu usiotiliwa shaka, uwe na hofu ya Mungu yule wa kweli! Ujanjaujanja kwa hao jamaa hautakiwi yaani uwe mzalendo hasa kwa nchi yako! Mtii na hodari, usiwe na roho ya woga maana wale jamaa hawana rafiki, rafiki yako huenda kesho akawa mteja! Mimi nilijifunza haya kwenye vile klabu zao nikiwa Nangwanda Sekondari enzi hizo! Nilitamani kazi hiyo lakini sikupata!!
 
Sawa sawa kiongozi nimejaribu kuangalia kwenye regulations zao lakini bado haijaweka wazi hivyo, na mimi kwa kifupi uadilofu ninao na hii kazi naipenda ila kwenye issue ya mafunzo ni mafunzo yapi mtu anaenda kupewa akienda depo?
 
Mkuu Nahisi Utafundishwa na Ukakamavu Pia Nahisi Ndo Lengo Lako kutaka Kujua TAKUKURU Mazingira yao ya Kufanyia Kazi kama ya TISS tuu isipokua Wame specialize kwenye Counter Corruption Lazima Uwe mkakamavu Kupambana Na Watu waliojifungia Mahotelini Wakipanga Mipango Haramu Hasa Pale Ma Investigators mnapopeana Shift za kuwafatilia sometimes kuna Kushtukiwa sasa Ukishtukiwa na Watu wanapanga Deal ya £14million kama ile ya Makinikia Pesa Hiyo kwa wahalifu ni nyingi Kuliko Uhai wako.

So Lazima Uende Ukale Mafunzo Utakua Una deal na Watu Hatari Sana........ Ili usije Ukapotezwa Kirahisi na watu wasiojulikana.
 
Mkuu nchi hii uzalendo ni mgumu sana, Edward Hosea alikua DG, But alikua anabugia mvinjo tu, moja ya mvinjo ni sakata la Richmond... Jamaa alilimaliza kama vile hakukua na mrungula...

Nina jamaa yangu wakati tunaajiriwa, yeye alipata PCCB, Post Investigation Officer, akapangiwa kituo cha kazi Pugu, mali alizonazo kwa sasa, hawezi zitolea maelezo kabisa... ana ukwasi hatari
 
Tulia wakufanyie vetting kwanza waangalie kwenu pakoje, ulisomajesomaje, kama ukilewa unabwabwaja.je wew n mtu wa kumicha au kumichwa, watafatilia kila data yako inaweza chukua miezi hata mwaka hawana utani na mtu watakayemrecruit. so kama umefata ulaji hiyo kazi iogope sana
 
Kasome sheria yao! Itakueleza majukumu na kila kinachokupasa! Kasome regulations zao,kikubwa uwe mwadilifu, uadilifu usiotiliwa shaka, uwe na hofu ya Mungu yule wa kweli! Ujanjaujanja kwa hao jamaa hautakiwi yaani uwe mzalendo hasa kwa nchi yako! Mtii na hodari, usiwe na roho ya woga maana wale jamaa hawana rafiki, rafiki yako huenda kesho akawa mteja! Mimi nilijifunza haya kwenye vile klabu zao nikiwa Nangwanda Sekondari enzi hizo! Nilitamani kazi hiyo lakini sikupata!!
Umenikumbusha hizi clubs zao mashuleni! Hawa jamaa wako strictly sana kama unaenda haujawa committed bora ukaacha!
 
Ushaitwa kazini mkuu?
Hapana nauliza tu mkuu kuna mdogo wangu aliapply hii kazi ila hana uhakika wa roles na responsibilities zake incase Mungu akimsaidia akapata hi nafasi ya kulitumikia taifa.
 
Aliapply au alifanya interview. Maana watu wanasubiri majibu ya mwisho.
 
Hapana nauliza tu mkuu kuna mdogo wangu aliapply hii kazi ila hana uhakika wa roles na responsibilities zake incase Mungu akimsaidia akapata hi nafasi ya kulitumikia taifa.

Ndo maana ya Training huko atafundishwa everything kuhusiana na kazi husika
 
Tulia wakufanyie vetting kwanza waangalie kwenu pakoje, ulisomajesomaje, kama ukilewa unabwabwaja.je wew n mtu wa kumicha au kumichwa, watafatilia kila data yako inaweza chukua miezi hata mwaka hawana utani na mtu watakayemrecruit. so kama umefata ulaji hiyo kazi iogope sana
samahani mkuu...hizo taarifa zote watazipata wapi?!
 
Kasome sheria yao! Itakueleza majukumu na kila kinachokupasa! Kasome regulations zao,kikubwa uwe mwadilifu, uadilifu usiotiliwa shaka, uwe na hofu ya Mungu yule wa kweli! Ujanjaujanja kwa hao jamaa hautakiwi yaani uwe mzalendo hasa kwa nchi yako! Mtii na hodari, usiwe na roho ya woga maana wale jamaa hawana rafiki, rafiki yako huenda kesho akawa mteja! Mimi nilijifunza haya kwenye vile klabu zao nikiwa Nangwanda Sekondari enzi hizo! Nilitamani kazi hiyo lakini sikupata!!
:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:DNANGWANDA
 
Back
Top Bottom