Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Anahitajika kijana wa kiume kwa kazi maalum Dar Es Salaam na uwezekano wa kusafiri Mikoani. Malipo Tsh. 20,000 kwa siku. Awe na kiwango cha elimu ya Diploma au Degree, awe na uwezo wa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habarini za asubuhi naombeni kujua huu mradi wa ela nyingi nimesikia umeanzishwa uko LINDI na nadhani utahitaji watu mbalimbali. Naomba kujua nafasi za kazi zinapatikana vipi uko, maana mimi nipo...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu habari za kwenu nyote Natafuta kazi ya stationary kwa mkoa wa morogoro/Dodoma Uzoefu ninao wa zaidi ya miaka 3. Vigezo vyangu katika kazi: 1. Nafahamu vizuri sana kutumia computer.. 2. Nina...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Ndugu zanguni tangu tarehe 08/01/2022 kulifanyika aptitude test interview ya investigation office and assistant investigation kwa seem kama UDOM, MIPANGO, AND ST.JOHN wakasema watatoa majina kwa...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari za wakati huu wapendwa. Napenda kufahamu kitu kimoja jamani kwenye masuala ya uandishi wa barua ya kazi utumishi. Utumishi kwenye Ajira portal yao wanahitaji meombaji kazi aambatanishe...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari! Mwalimu /mlezi anahitajika Shule: Tiger Day Care Wapi: Dar- kinondoni-kawe Sifa: Awe amesomea uwalimu/ au malezi , awe anajua kingereza vizuri na nyimbo nyingi za watoto, upendo kwa...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Habar wakuu wa JF Napenda kujua kwanin nafas za kaz kwa watu wa level ya chini ya elimu ni ndogo hususan sisi watu wa vocational education kwa kila matangazo ya ajira au hata maofisin watu wa...
1 Reactions
3 Replies
712 Views
Serikali ilitoa maelekezo juu ya ajira kwamba halmashauri zenye uwezo wa kifedha ziajiri walimu kwa mikataba ili kupunguza gap LA walimu huko mashuleni, Mpaka sasa tunaona kimya Je. Halmashauri...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Introduction/Utangulizi Tuna kipindi cha tv ambacho kimepata tayari air time kwenye tv fulani nchini, aina ya kipindi ni kinahusu maswala ya teknolojia, pia tuna mpango wa kuanzisha chaneli ya...
3 Reactions
29 Replies
5K Views
Habari ya muda tena? Jamani niliona ni vyema nikapita tena apa nitangaze tena. Ninatafuta ajiri jijini Arusha iwe full time ama part time nipo. Nina skill katika matumizi ya computer, nina...
0 Reactions
4 Replies
652 Views
Research Officer Kasulu, Tanzania, United Republic of | req19167 Requisition ID: req19167 Job Title: Research Officer Sector: Education Employment Category: Regular Employment Type: Full-Time...
0 Reactions
1 Replies
886 Views
Msaada Natafuta Kazi/internship Nina Degree ya Bima na Majanga (Bachelor of science in insurance and Risk management)
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari zenu Wana jf, mimi ni mschana ambaye Bado nipo kwenye harakati za kujikwamua katika maisha haya. Kama kichwa cha hoja kinavyosema, kwa mwenye uhitaji wa mdada ambaye atakuwa anamfulia na...
21 Reactions
152 Replies
14K Views
Naitwa Gabriel minde natokea dar es salaam Nina uzoefu na kazi ya udereva natafuta kazi ya udereva leseni yangu class A,A2,B,D,E,F Nina uzoefu na hii kazi nipo tayari kufanya kazi kwenye kampuni...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Kiukweli inaumiza sana vigezo vyote unavyo ila jkt hukupitia.. may be hukuchaguliwa au kwa sababu zilizo nje ya uwezo wetu... Serikali yetu sikivu ituangalie kwenye hili tunajiona kama tumetengwa...
5 Reactions
51 Replies
6K Views
Habarini humu ndani Kama nimekosea jukwaa mtanisamehe. Mimi ni fresh graduate. Nimemaliza chuo mwaka jana. Katika mishe za kutafuta kazi nimehangaika sana. Nime apply sehemu kama 10+ hakuna hata...
3 Reactions
263 Replies
38K Views
Idara ya uhamiaji Tanzania wametangaza nafasi za kazi 350 kwa watanzania kama tangazo linavojieleza hapa chini
1 Reactions
51 Replies
12K Views
Nimehitimu certificate ya maabara na nina uzoefu wa miaka 3 ya kufanya kwenye vituo vya afya mbalimbali. Kazi iwe wilaya ya Kibaha. Nitafanya kazi kwa kujituma sana. Asanteni sana.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wadau, Kuna kijana mwezetu anawazo la kufanya tukio la kitalii,, linahitaji watu takribani watano (5) wa kujitolea kuratibu na kuandaa event hii, watajitoa kwa hali na mali na kulipana...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Back
Top Bottom