Karibu sana jukwaaniNimehitimu certificate ya maabara na nina uzoefu wa miaka 3 ya kufanya kwenye vituo vya afya mbalimbali.
Kazi iwe wilaya ya Kibaha.
Nitafanya kazi kwa kujituma sana
Asanteni sana.
Usichague mahali pa kufanyia kazi. Maisha popote sio kibaha tu.Nimehitimu certificate ya maabara na nina uzoefu wa miaka 3 ya kufanya kwenye vituo vya afya mbalimbali.
Kazi iwe wilaya ya Kibaha.
Nitafanya kazi kwa kujituma sana
Asanteni sana.
Ccm ni laana..wanawatumia kama toilet pepa vijana kwa vigezo vya kuja kuwapa ajira kumbe hola..viposho vya buku 7..ili kuja kitukana na kuneneza propaganda humu.Nenda Lumumba ukiwa na kadi yako utapewa au ID yako ya humu.