STUKA M1
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 7,411
- 7,000
Habari za wakati huu wapendwa.
Napenda kufahamu kitu kimoja jamani kwenye masuala ya uandishi wa barua ya kazi utumishi. Utumishi kwenye Ajira portal yao wanahitaji meombaji kazi aambatanishe barua ya kazzi ambayo imeandikwa kwa kingereza au Kiswahili.
Sasa issue ni kwamba, post ya Kazi husika kwenye Ajira portal imeandikwa kwa kingereza, mfano:- "Research Assistant".
Je, kama Mimi nataka kuandika barua kwa lugha ya kiswahili ninaweza kulibadilisha hilo neno Research Assistant na kulipeleka kwenye kiswahili na likakubalika/ bila kuharibu nafasi ya post husika au inabidi niandike hvyohvyo kwenye title Hali ya kuwa barua naandika kwa Kiswahili?
[emoji120][emoji120][emoji120]