Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Natafuta gari ya kufanyia kazi na kupeleka hesabu kwa boss. Iwe ya biashara account ninayo ya Uber pamoja na Bolt Leseni ninayo iko active Tutaandikiashiana kwa mjumbe ili uaminifu uwepo Barua ya...
1 Reactions
42 Replies
6K Views
kwa ukuaji wa mtandao duniani, makampuni mengi hutumia nyanja mbalimbali ili kutangaza na kupata maoni ya wateja kuhusu bidhaa au huduma wanayoitoa. kuna makampuni yanaendesha zoezi la...
1 Reactions
34 Replies
9K Views
Habari wapendwa Naulizia kwa manispaa ya KINONDONI ambaye anajua tarehe ya majina ya waliochaguliwa kufanya zoezi la UKUSANYAJI WA ANWANI ZA MAKAZI NA POSTIKADI ni lini?? Naulizia hivyo maana kwa...
1 Reactions
30 Replies
6K Views
Habari naitwa hussein n dereva wa uber /bolt natafut gari ya kazi iwe hesabu au mkataba na uzoef miak 3 sas kam uko nay nichek 0689588127
1 Reactions
3 Replies
1K Views
NBC is the oldest serving bank in Tanzania with over five decades of experience. We offer a range of retail, business, corporate and investment banking, wealth management products and services...
0 Reactions
0 Replies
696 Views
Habari wakuu, Kwa majina naitwa charz juma, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 19 natafuta kazi yoyote lakini hiwe halali
1 Reactions
6 Replies
1K Views
The position is responsible for debugging, root cause analysis, analyzing an inherent functionality and solving issues by considering overall impacts, and handling various users of the subscriber...
0 Reactions
0 Replies
563 Views
Hongereni kwa harakati zenu mnazozifanya katika kutafuta kazi, msikate tamaa endeleeni kusambaza CV kadri muwezavyo, msidharau interview mnazopata hakuna siku yenye kiza masaa 24 ipo saa mwanga...
5 Reactions
6 Replies
1K Views
Ndugu Wana Jamii Forum, poleni na majukumu ya kulijenga taifa. Mimi ni mhitimu wa chuo kikuu Cha Dar es salaam (UDSM) tawi la DUCE, nimehitimu mwaka 2018, ngazi ya degree. Nimekuja kwenu mnipe...
3 Reactions
35 Replies
3K Views
Mama acha tu aitwe mama, anaupiga mwingi sana. Kwa watumishi wa serikali, mzigo umesoma LIVE fasta muda huu wa saa 9 alasiri leo 22/2/2022. Tukutane 2025.[emoji110]
12 Reactions
23 Replies
3K Views
Kama ulituma maombi kinondoni, basi file lenu limetoka.. Ila sijui interview imefanyika lini[emoji23][emoji23]
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu zangu, jana nilifanikiwa kufika halmashauri pale ya jiji la Dodoma kupeleka Barua yangu ya maombi ya ukusanyaji wa postcode, watu walikua wengi sana wenye bahasha za kaki. Vijana walikuwa...
7 Reactions
30 Replies
3K Views
Naitwa Salma Hussein Chuku Nina miaka27 Elimu yangu mpaka form four nimesomea Hotel Management ila si kubahatik kupat ajira popote uzoefu wng ni biashara Msaada wenu waungwana nipate kazi 0684...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Hello! Natafuta fundi anayejua kushona nguo za kike haswa, kama unafahamu naomba namba zake nitamtafuta asanteni. Awe Dar
0 Reactions
7 Replies
3K Views
VisionFund Tanzania Microfinance Bank Ltd (VFT MFB) formerly known as SEDA is a fast growing and reputable Micro Finance Bank (MFB). It has a loan book of TZs. 17 Billion and 30,000 customer base...
0 Reactions
0 Replies
748 Views
Ref. No. AB.267/322/01/27 The Tanzania National Roads Agency (TANROADS), is an Agency under the Ministry of Works and Transport which is responsible for the Development and Maintenance of the...
0 Reactions
0 Replies
627 Views
JAMTA CONSTRUCTION INVESTMENT (T) LTD founded on the 28th day of March, 2006 under certificate of Incorporation number 56064, provides general contracting, construction management and building...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
JAMTA CONSTRUCTION INVESTMENT (T) LTD founded on the 28th day of March, 2006 under certificate of Incorporation number 56064, provides general contracting, construction management and building...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Kigoma is a city and lake port in northwestern Tanzania, on the northeastern shores of Lake Tanganyika and close to the border with Burundi and The Democratic Republic of the Congo. It serves as...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom