Nafasi ya kazi manispaa ya Kinondoni ukusanyaji wa anwani za makazi na postikadi

mafuru

JF-Expert Member
May 26, 2014
379
38
Habari wapendwa
Naulizia kwa manispaa ya KINONDONI ambaye anajua tarehe ya majina ya waliochaguliwa kufanya zoezi la UKUSANYAJI WA ANWANI ZA MAKAZI NA POSTIKADI ni lini??

Naulizia hivyo maana kwa manispaa ya ubungo majina yametoka Leo na wameshafanya usaili (interview) kwa njia ya mtandao Yani online registration form na wame submit tayari.

Mtujuze mnaofahamu na pia kwa anayefahamu tarehe halisi zoezi hili linaenda kuanza Kwa wilaya zote za DSM pia atujulishe

Na kama Kuna training (mafunzo) kabla ya zoezi hili pia tujue na tarehe ya training

Asanteeeeeee
Nimembatanisha na PDF ya majina ya waliochaguliwa Kwa wilaya ya Ubungo.

Screenshot_20220219-194422.jpg
 
Nimembatanisha na PDF ya majina ya waliochaguliwa Kwa wilaya ya ubungo.View attachment 2124171
Interview ilikuaje
 
Habari wapendwa
Naulizia kwa manispaa ya KINONDONI ambaye anajua tarehe ya majina ya waliochaguliwa kufanya zoezi la UKUSANYAJI WA ANWANI ZA MAKAZI NA POSTIKADI ni lini??

Naulizia hivyo maana kwa manispaa ya ubungo majina yametoka Leo na wameshafanya usaili (interview) kwa njia ya mtandao Yani online registration form na wame submit tayari.

Mtujuze mnaofahamu na pia kwa anayefahamu tarehe halisi zoezi hili linaenda kuanza Kwa wilaya zote za DSM pia atujulishe

Na kama Kuna training (mafunzo) kabla ya zoezi hili pia tujue na tarehe ya training

Asanteeeeeee
Nimembatanisha na PDF ya majina ya waliochaguliwa Kwa wilaya ya Ubungo.

View attachment 2124171
Jamani Ina Maana hakuna mwenye Taarifa kuhusiana na kinondoni
Maana jumatatu Leo ukute majina yashabandikwa kwenye ofisi za kata

Anyone mwenye new news???
 
Habari wapendwa
Naulizia kwa manispaa ya KINONDONI ambaye anajua tarehe ya majina ya waliochaguliwa kufanya zoezi la UKUSANYAJI WA ANWANI ZA MAKAZI NA POSTIKADI ni lini??

Naulizia hivyo maana kwa manispaa ya ubungo majina yametoka Leo na wameshafanya usaili (interview) kwa njia ya mtandao Yani online registration form na wame submit tayari.

Mtujuze mnaofahamu na pia kwa anayefahamu tarehe halisi zoezi hili linaenda kuanza Kwa wilaya zote za DSM pia atujulishe

Na kama Kuna training (mafunzo) kabla ya zoezi hili pia tujue na tarehe ya training

Asanteeeeeee
Nimembatanisha na PDF ya majina ya waliochaguliwa Kwa wilaya ya Ubungo.

View attachment 2124171
JAMANI WALE WA KINONDONI TUPO

KUNA JIPYA LOLOTE MPAKA SASA?? MAANA UBUNGO NA TEMEKE KUMESHANOGA TAYARI

TUMEBAKIA SISI TU

TUJUANE JAMANI
 
Vijana hiyo 1,350,000 sio ya kuiacha.
Hakika sio ya kuiacha hata ingekuwa M tu sio ya kuiacha unaweza fanya kitu Mzee

Vipi una lolote lile mpaka Sasa kuhusiana na kino yetu mkuu???
 
Habari wapendwa
Naulizia kwa manispaa ya KINONDONI ambaye anajua tarehe ya majina ya waliochaguliwa kufanya zoezi la UKUSANYAJI WA ANWANI ZA MAKAZI NA POSTIKADI ni lini??

Naulizia hivyo maana kwa manispaa ya ubungo majina yametoka Leo na wameshafanya usaili (interview) kwa njia ya mtandao Yani online registration form na wame submit tayari.

Mtujuze mnaofahamu na pia kwa anayefahamu tarehe halisi zoezi hili linaenda kuanza Kwa wilaya zote za DSM pia atujulishe

Na kama Kuna training (mafunzo) kabla ya zoezi hili pia tujue na tarehe ya training

Asanteeeeeee
Nimembatanisha na PDF ya majina ya waliochaguliwa Kwa wilaya ya Ubungo.

View attachment 2124171
Wanathread wenzenu naulizia kinondoni majina yanatoka lini
Usije Kuta tushaachwa hivyo kimya kimya

Mwenye info kamili atupie Hapa please

Asanteeeeeee
 
Back
Top Bottom