Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Wadau habari za mida naomba mchango wenu wa mawazo kwanini wafanyakazi wengi wa umma ni masikini unakuta mtuu ana bachelors degree ila unakuta anaishia kumiliki nyumba na gari moja tuu ambapo...
3 Reactions
16 Replies
3K Views
Heshima kwenu wakuu, Kwa tuliofanya interview ya Practical nafasi ya Data Officer MDH pale Kijitonyama kuna yeyote ambae kashapigiwa simu kwenda kwenye Oral Interview?
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Wale vijana waliokuwa wanasubiria kwa hamu interview ya utumishi sasa wajiandae kukabiliana na mtiani Machi 5 na 6 Ingawa watu wameenguliwa sana kwa vigezo vya ajabu ajabu ila pia nyomi ya watu...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Mfano mkubwa Dr. Mwele, Kwa kweli watoto wa Mzee Malecela wana Akili. Sasa nimechoka kwa watu kusema mtu Huyu kapata Hii kazi kwa ajili ya mzee. Sasa Hivi head lines zote za Dr. Mwele ni mtoto...
3 Reactions
18 Replies
3K Views
Kwema wakubwa? Nilikua msalani nimetoka niikacheck simu yangu nikakuta hii number imenipigia, +27118818914.itakua ni number ya nchi gani hii wazee maana binafsi sina hata ndugu wala rafiki aliyeko...
1 Reactions
4 Replies
783 Views
https://www.linkedin.com/pulse/un-vacancies-legal-professionals-orestes-sotta/?trackingId=8tUHM8mMTuOq4%2Bks8lgTvg%3D%3D
0 Reactions
0 Replies
687 Views
Job Profile Role purpose: The enterprise architect’s responsibilities include improving the current IT infrastructure, optimizing business operations, and setting the direction and approach for...
0 Reactions
0 Replies
800 Views
Reports to: Director of Health Services Location: Dar Es Salaam Apply before: Tue 08, Mar 2022 16:00hrs Background Information The Christian Social Services Commission (CSSC) is an ecumenical...
0 Reactions
0 Replies
661 Views
UBONGO is Africa’s leading producer of kids’ edutainment. As a non-profit social enterprise, we create fun, localized, and multi-platform educational content that helps kids learn, and leverage...
0 Reactions
0 Replies
648 Views
CALL FOR EXPRESSION OF INTEREST INDEPTH VALUE CHAIN ANALYSIS ON TOMATO VALUE CHAIN IN TANZANIA UNDER THE ECOLOGICAL ORGANIC AGRICULTURE INITIATIVE GENERAL INSTRUCTIONS Introduction The Consultant...
0 Reactions
0 Replies
648 Views
Job Posting: 01/Mar/2022 Closure Date: 17/Mar/2022, 1:59:00 AM Organizational Unit: FRURT Job Type: Non-staff opportunities Type of Requisition: NPP (National Project Personnel) Grade Level: N/A...
0 Reactions
0 Replies
704 Views
Mimi ni msichana wa kitanzania, umri wa miaka 27. Nina shahada ya kwanza ya mambo ya kibenki na huduma za kifedha ( Bachelor in banking and finance) kutoka Institute of Finance Management (IFM)...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa walioomba nafasi za kazi Shirika la Reli Tanzania (TRC) naona mkeka umetoka na majina ya kutosha. Kila la kheri mliochaguliwa kushiriki usaili lakini mpo wengi sana.
2 Reactions
20 Replies
4K Views
Sales Representative Job Our company is looking for a sales representative to be responsible for generating leads and meeting sales goals. Duties will include sales presentations and product...
1 Reactions
2 Replies
925 Views
Wakuu salamu, Natafuta kazi YOYOTE ile ya kujitolea kwenye taasisi yoyote ile,kampuni au NGO. Nina bachelor degree ya Statistics. Kwa mawasiliano 0712778881
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Ref. No. AB.58/78/01/30 Tanzania National Roads Agency (TANROADS) is a Semi-Autonomous Agency under the Ministry of Works established on July 1, 2000 and is responsible for the day-to-day...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
POSITION- CHIEF FINANCE OFFICER Background The National Investments PLC (NICOL) is a public listed company at the Dar Es Salaam Stock Exchange (DSE) whose mission is to bring radical enhancement...
0 Reactions
0 Replies
708 Views
Ref. No. AB.58/78/01/30 Tanzania National Roads Agency (TANROADS) is a Semi-Autonomous Agency under the Ministry of Works established on July 1, 2000 and is responsible for the day-to-day...
0 Reactions
0 Replies
981 Views
Ref. No. AB.58/78/01/30 Tanzania National Roads Agency (TANROADS) is a Semi-Autonomous Agency under the Ministry of Works established on July 1, 2000 and is responsible for the day-to-day...
0 Reactions
0 Replies
886 Views
-Kazi ya hotel -Duka -Saloon (kusuka,makeup,pedcure,manicure,dreadlocks n.k) -Mini & super market -Stationary (uzoefu wakutosha kwani kazi ya mwisho ilikua stationary) Umri miaka 24 Location...
0 Reactions
2 Replies
578 Views
Back
Top Bottom