Mkeka wa TRA umeachiwa

Mkeka wa TRA umeachiwa

goroko77

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2019
Posts
8,839
Reaction score
13,151
Wale vijana waliokuwa wanasubiria kwa hamu interview ya utumishi sasa wajiandae kukabiliana na mtiani Machi 5 na 6
Ingawa watu wameenguliwa sana kwa vigezo vya ajabu ajabu ila pia nyomi ya watu itakuwa kubwa

Mfano mtu aliweza kuudhuria interview za utumishi zaidi ya tatu ila leo ameonekana Hana kigezo . Not shortlisted academic certificates not certified by advocate sasa hapa inakuaje leo hana kigezo waKati interview za nyuma alikuwa selected ..maajabu Sana [emoji38]
 
😆😆😆 Utumishi sasa ivi wamekuwa wazushi

Kuna usaili fulan niliuzuria pale Udom aisee jamaa wana mauzi sanaa
 
Hatar kwa hii ni ipi ni ile interview iliyokuwa na Magumashi paper ikavuja kapostpone
 
Wale vijana waliokuwa wanasubiria kwa hamu interview ya utumishi sasa wajiandae kukabiliana na mtiani Machi 5 na 6
Ingawa watu wameenguliwa sana kwa vigezo vya ajabu ajabu ila pia nyomi ya watu itakuwa kubwa

Mfano mtu aliweza kuudhuria interview za utumishi zaidi ya tatu ila leo ameonekana Hana kigezo . Not shortlisted academic certificates not certified by advocate sasa hapa inakuaje leo hana kigezo waKati interview za nyuma alikuwa selected ..maajabu Sana [emoji38]

Wasengerema Utumishi
 
Wakuu mliowahi kuhudhuria, Huwa wanauliza maswali gani kwa written kada ya tax management officer 11
 
hao wapuuzi wa utumishi wana watoto wao huko, ko wanaleta mambo ya ajabu, ajabu kama haya ili waweze kuwapenyeza watoto wao.

Yani lengo lao ilikuwa wawakate watu wote ili wakafanye watoto wao tuu, afu mitoto yao ni ile aina ya matoto mazezeta ambayo hata uyape possible yakae nayo mwaka mzima hayatoboi.

pia hizi kazi kuna mazezeta ya viongozi na ya wanaojuana, tiyari yalishaanza kazi kitambo yanatafuna bata tuu, wanaoenda interviews wamebakishiwa nafasi 2 au 4 ndo wanazipambania.
 
Nipe possible mkuu
 
Back
Top Bottom