Natafuta kazi ya kujitolea, nins adaegree ya Statistics

Adaegree ndio nini? Ufafanuzi please
Screenshot_20220227-204700_Chrome.jpg

Naomba nikushauri yafuatayo:-
  • Soma na hakiki uandishi wako kabla ya kutuma.
  • Omba msaada JamiiForums warekebishe subject.
  • Usiandike ukiwa na hasira au una haraka.
  • Uandishi mzuri huvuta mambo mazuri, pendelea kuandika vizuri nakwa kujiamii.
  • Usijitetee ila fanyia kazi masahihisho
 
Adaegree ndio nini? Ufafanuzi please
View attachment 2133306

Naomba nikushauri yafuatayo:-
  • Soma na hakiki uandishi wako kabla ya kutuma.
  • Omba msaada JamiiForums warekebishe subject.
  • Usiandike ukiwa na hasira au una haraka.
  • Uandishi mzuri huvuta mambo mazuri, pendelea kuandika vizuri nakwa kujiamii.
  • Usijitetee ila fanyia kazi masahihisho
Typing errors
Nakumbuka nilikuwa na drive huku na post.
 
Typing errors
Nakumbuka nilikuwa na drive huku na post.
Makosa madogo kama hayo ni makosa makubwa sana.
Wanasayansi wa Tanzania wanaonekana hawajui kuandika hawajui Kingereza kutokana na makosa madogo tu.

Kwenye maisha yako, kila ukifanyacho kitengee muda, ajali nyingi pia hutokana na matumizi ya simu huku ukiwa unaendesha.
 
Ulikuwa unadrive nini isije kuwa wewe ndio unapaswa kutusaidia sisi
 
Back
Top Bottom