Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Wakuu, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30+, elimu yangu ni Diploma Naomba connection ya ajira, kibarua popote pale. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
2 Replies
622 Views
Naomba msaada kwa wanaotumia huu mfumo wa kuomba ajira za serikarin. Mara kadhaa sasa Kila nikifanya application inafail nandikiwa. "Sorry! You can not apply for the job post, kindly Check...
2 Reactions
32 Replies
4K Views
Tunahitaji kumhesabu kila mtu atakayelala kwenye mipaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania usiku wa kuamkia Siku ya Sensa tarehe 23 Agosti, 2022 bila kujali utaifa wake, hivyo wananchi wote wa...
1 Reactions
3 Replies
702 Views
Kuna nafasi zaidi ya 1500 za ufundi na uhandisi kwenye Kampuni ya El-sewedy Electric inayojenga Mradi wa Umeme wa Julius Nyerere Rufiji. Tazama Gazeti la Mwananchi 5 Februari Ukurasa 25. Tuma CV...
1 Reactions
30 Replies
49K Views
Waajiri wengi wanatumia video conference kama njia ya kufanya initial pre-screening interviews, na vilevile hutumika kwa watu walio mbali na eneo husika. Njia hii ni tofauti kidogo na njia ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mimi Nilihitimu Chuo 2015 Kada ya ELIMU baada ya Changamoto ya Ajira kuwa kubwa nililazimika kujiajiri Kuuza duka la Chakula hapa Dar es salaam. Nimebahatika kupata Nyumba (Kibanda) lakini...
5 Reactions
16 Replies
2K Views
Hello marafiki wa JF Naitwa EMMY WILLIAM ni na miaka 26 nina elimu ya certificate in IT (imformation and communication technology) nna uzoefu wa kazi mbili tofaut kazi ya cashier nlishafanya royal...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Habarini wapendwa mimi ni bint mtanzania wa miaka 23, nimesoma pharmaceutical science miaka miwili pia nimefanya kazi ya sales and marketing katika kampuni ya East Africa Fruits kwa muda wa miezi...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Mwalimu wa Kemia na Baolojia anahitajika. Shule ipo Dar es Salaam, Kiluvya, Wilaya ya Ubungo.
0 Reactions
0 Replies
882 Views
Nataka kujua kama majina ya watu waliochaguliwa kufanya kazi ya makalani kama yametoka au vp?
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Tupeane maarifa wajomba huu ndio muda wa kupigana kampani. Uzi huu utasaidia wengi maana tumesoma shule tofauti tofauti
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Majina Haya Hapa
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kuna jamaa angu kaajiliwa huko halmashauri kama account officer Jamaa ni klilaza.hajui hata kutumia account package yeyote.
7 Reactions
19 Replies
2K Views
Aisee kama hupati muda wa kureview kutoboa written ya utumishi na halmashauri itakuwa ndoto. maswali magumu alafu unapewa dk 45, nmeyasoma nimeishia kuopaa njaa. Kwa wale fresher inawawia urahisi...
4 Reactions
37 Replies
14K Views
Mgahawa uliyopo kinondoni Dar es salaam unatangaza nafasi za wahudumu. VIGEZO ★Awe MSICHANA ★umri 18 -27 ★Mkazi wa Dar es salaam ★Mchapakazi na mvumilivu ★Elimu kidato cha nne na kuendelea...
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Position Summary: Tembo Nickel is seeking to recruit Community Relations Lead for RAP Social Safeguards to join Tembo Nickel Project Team. We are looking for a driven and proactive implementer...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Naitwa Mustapha Rajabu. Nina umri wa miaka 28 naishia Dar Es Salaam maeneo ya Tabata Bima. Ninao uzoefu wa kutosha kwa kazi hiyo, nimefanya kazi ya stationery kwa zaidi ya miaka 5 hivyo ninao...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Chuo kilichopo jijini Mwanza kinatafuta mwalimu wa kufundisha program za microsoft office suit . Awe anajua angalau software mbili kati ya hizi, Microsoft Word, Microsoft Excel, Microsoft...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari za leo wanajamiiforums. Naomba mwenye connection ya kibarua chochote cha malipo ya siku kwa Dodoma aniunganishe. Nitatoa shilingi elfu kumi(10,000) kama shukrani. Naweza kuwa kondakta wa...
4 Reactions
26 Replies
2K Views
Wakuu habari, Samahani kwa wanaolifahamu hili jambo la mshahara wa broadcast technician ni kiasi gani? Na je, broadcast technician anakuwa anafanya mambo yapi haswaa?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom