Kuna kuitwa kweli kwenye interview au ndiyo tuendelee na mambo yetu kama tokea mwezi wa 4 hujaitwa na sasa hivi ni 11, si bora hiyo system ifutwe tu watu tufanye mambo yetu?
Kuliko kila week au...
Habari wakuu naomba kuwasilisha hoja kua mshahara wa kiasi cha Tsh. 350,000 ni mkubwa mno kwa kijana anayeanza kazi na hajaoa.
Tunaomba serikali itupunguzie mshahara.
Hello!
Natafuta dereva wa bajaji mwenye uzoefu na bajaji vizuri.
Awe anaishi Dar na awe na leseni yake tayari. Mwenye tabia ya uaminifu. Anahitajika urgently apige namba 0757302961.
Nipo...
Habari zenu wakuu,
Naomba niende moja kwa moja kwenye lengo la mada yangu.
Mimi mi kijana wa kiume umri mwenye miaka 35. Nina degree ya Bachelor of Science in Information Technology (Bs. IT)...
Pamoja na kwamba wengi hufikiria dereva anadharaulika katika utumishi na kuchukuliwa Kama kibarua fulani lakini linapokuja suala la upataji wa posho madereva wako vizuri huenda kuliko watumishi...
Habari wanajukwaa,
Mimi ni kijana niliyeomba ajira utumishi kupitia Dirisha la ajira za utumishi (Ajira portal). Mpaka sijajua ni lini watatoa short list yao.
Lakini cha kushangaza kuingia...
Tuliokosa kuitwa kazini TRA 9/4/2022 tusikate tamaa hongereni kwa mliopata na kheri ya utumishi mwema.
Inawezekana tumefaulu ila nafasi ndio tumekosa ila tuna mshukuru Mhe Raisi japo...
Kama kichwa Cha habari kinavyoelezea, anahitajika mtu aliebobea katika uandikaji wa wasifu wa kampuni( company profile), kwa ambae anauwezo na sifa za kuandika awasilishe maombi yake Kupitia...
Habari za muda huu ndugu wapambanaji..
Mimi nina hoja moja juu ya utumishi kutoa majibu ya written interview.. maana wanachukua muda kidogo halafu sasa majina ya shortlisted for oral interview au...
Habari wapendwa katika bwana.
Tumsifu Yesu Kristo.
Assalam Aleykum.
Habari ...
Ndugu zangu naona Mwenyezi Mungu amefungua neema na mdogo wangu hajawahi kuitwa kwenye Interview ila hakukata tamaa...
Humu jamiiforums jamani Kuna watu hawapo serious kabisa yaani haiwezekani mtu uweke post ya ajira kwamba unahitaji mtu wa fani Fulani unaweka namba yako ukipgiwa hupokei au unakata au ukipokea...
Kutokana na vijana wengi kupitia changamoto mara baada ya kumaliza masomo. Nimeona niandike uzi huu ili kutoa nafasi ya kubadilishana uzoefu na taarifa mbalimbali kuhusu changamoto ya ajira na...
Habari humu, naombeni mwenye connection ya ajira yoyote kwa Iringa mjini. Ni mama wa nyumbani natamani nitoke nikajishughulishe maisha magumu. Elimu yangu ni Degree
Habari naitwa Michael, natafuta kazi ya udereva. Kama kuna mtu anatafuta dereva wa kumuendesha au kuendesha gari ya biashara yaani taxi kama Uber au Bolt, nipo na leseni ya class C au kampuni...
Habarii wakuu,
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri.
Mimi ni kijana wa kitanzania Mhitimu wa stashahada ya uhandisi ujenzi(Ordinary diploma in civil engineering NTA level 6) kutoka chuo cha ufundi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.