Nenda chuo elimu ya advance na cheti cha jkt ndiyo nini? Una ujuzi gani?Nnaelimu ya advance pia nnachet cha jkt..kama kuna kazi naomba tujulishane wadau wa jf
zaman nilikuwa najua mtu akifaulu form four akienda advance basi kamaliza kilakituNiko gud ktk masuala ya computer maintainance based in sofware
Acha hizo Mambo Mbona unampa kijana stress,wakati amekuja mahalo pa kuondoshea stress na kupata Mawazo mapya ,hamasa ,ushauri na faraja?Wewehuna shida na Kazi. Kwanza husalimii. Pili umeandik two lines. Ukihitaji kazi beg for it tukufikirie 😊
Mie Nina duka la nguo ningempa kazi customer service. Sasa husalimii customers hapo kasha feli usahili. Pili nimemrekebisha Ili nijue kweli atarudia kusalimia hajarudi. Binafsi kwa Kaz nayotaka kumpa hatoweza. .Acha hizo Mambo Mbona unampa kijana stress,wakati amekuja mahalo pa kuondoshea stress na kupata Mawazo mapya ,hamasa ,ushauri na faraja?
mkuu shikamooMie Nina duka la nguo ningempa kazi customer service. Sasa husalimii customers hapo kasha feli usahili. Pili nimemrekebisha Ili nijue kweli atarudia kusalimia hajarudi. Binafsi kwa Kaz nayotaka kumpa hatoweza. .
Ila naomba nichukue nafasi hii kumuombea kazi kwa wengine humu. .
Salam ya ofisi sio shikamoo
Bosi habariWewehuna shida na Kazi. Kwanza husalimii. Pili umeandik two lines. Ukihitaji kazi beg for it tukufikirie 😊
hahahaa bosi anapokea salamu yoyote haijalishi umri[emoji23]Salam ya ofisi sio shikamoo
Ofisi unasalimia za kazi, habari za kazi
Mimi na wewe tunalingana mbona unazingua mwanangu [emoji23][emoji23]
Kwani unataka kazi jeshi la polisi😂😂😂hahahaa bosi anapokea salamu yoyote haijalishi umri[emoji23]
Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
ajira ngumu mkuu [emoji1]huwa nikipeleka cv sehemu nasalimia kila nnaemkuta mbele yangu huku mikono imeshikanaKwani unataka kazi jeshi la polisi[emoji23][emoji23][emoji23]
Unaua mbavu zangu
Huyo jamaaa inaonekana atakuwa boss mzuri Sana🏃🏃Salam ya ofisi sio shikamoo
Ofisi unasalimia za kazi, habari za kazi
Mimi na wewe tunalingana mbona unazingua mwanangu 😂😂
Unajua sometimes inatupatasa kuongea kifupi kwa sababu ukiongea sana unaonekn msaniiMie Nina duka la nguo ningempa kazi customer service. Sasa husalimii customers hapo kasha feli usahili. Pili nimemrekebisha Ili nijue kweli atarudia kusalimia hajarudi. Binafsi kwa Kaz nayotaka kumpa hatoweza. .
Ila naomba nichukue nafasi hii kumuombea kazi kwa wengine humu. .