Golden Coach LTD Vacancy | Storeskeeper
Golden Coach Ltd, a leadingtransport company based in Dar es Salaam, Tanzania, is seeking a diligent and
organized individual to join our team as a...
Golden Coach LTD Vacancy – Human Resource Specialist
Position: Human Resource Specialist
Golden Coach Ltd, a leading transport company based in Dar es Salaam, Tanzania, is seeking a highly...
Habari ndugu zangu,
Nina shida na namba ya ison bpo ltd toka BRELA, ISON ilikuwa inafanya kazi na Tigo miaka ya nyuma, ni kwa ajili ya madai ya PSSSF.
Nawasilisha wakuu.
Naomba kujua hapo juu maisha yakoje ukiwa na Ajira ya uhakika na msharaha mzuri kwa vijana wenzangu?
Wengine tumejiajiri si ni yes no yes no. I wish to feel the experience of that place even...
My name is Joseph, I am a resident of Dar es Salaam, I am looking for a store or institution, music recording studios or film production companies, and any other legitimate job. I have...
Hivi haya mashirika ya umma huwa yanawapataje watumishi wake, au huko kwenye hayo mashirika huwa hakuna watu wanaostaafu au kufa ili nafasi zibaki wazi?maana sijawahi kukutana na matangazo yao ya...
Habarii wanaJF
Nilikuwa naomba msaada kwa yeyote ambaye alishawahii kufanya practical interview utumishi, wanaletaga practical ya namna gani maake sijawahii kufanya interview yeyote utumishi ndio...
Hello wakuu.
Hii naomba kujuzwa Kwa anayefahamu in-details hii organization inayoitwa IPA, anipe information zake.
Maana ni organization ambayo inatangaza nafasi nyingi mno za ajira karibu Dunia...
Wakubwa Habari za wakati huu,
Poleni na majukumu ya kujenga taifa
Napenda kushare mawazo na vijana wenzangu wanaojishughulisha na kazi za security (ulinzi) tujadili nini changamoto za kazi hii...
Please wana JF kama nilivyosema kwenye kichwa hapo juu. Natafuta kazi yeyote ile ila isiwe ulinzi nipo Dar es Salaam
Kama kuna mwenye connection please naomba anisaidie na mimi niweze kujikwamua...
Habarii wanaJF
Nilikuwa naomba msaada kwa yeyote ambaye alishawahii kufanya practical interview utumishi ya VOCATIONAL TEACHER II -ICT wanaletaga practical ya namna gani maake sijawahii kufanya...
African Union Vacancy – English Interpreter/Translator
African Union Vacancy – English Interpreter/Translator
African Union (AU)
Arusha
Location: Tanzania
Organization: African Union
AU...
About
Announcement Number:
DaresSalaam-2024-023
Hiring Agency:
Embassy Dar Es Salaam
Position Title:
Maintenance Mechanic – Plumbing (Internal Candidates Only)
Open Period:
04/23/2024 – 05/07/2024...
Relationship Manager; Mass Liabilities (1 Position(s))
Job Location :
Head Office, Hq
Job Purpose:
To Manage the end-to-end relationships of key stakeholders in the liability segment for the...
The Danish Refugee Council assists refugees and internally displaced persons across the globe: we provide emergency aid, fight for their rights, and strengthen their opportunity for a brighter...
Title: Project Driver
Department: Human Resources and Administration
Location: Dodoma, Singida, Arusha and Manyara
Reports To: Associate Finance and Administration Officer
Classification...
Wakuu habari za muda huu, nina rafiki yangu ametumiwa email kichwa cha habari kina eleza kwamba INTERVIEW INVITATION - SYSPRO BUSINESS SUPPORT.
Sasa haelewi hiyo SYSPRO BUSINESS SUPPORT ni nini...
Haya maisha bwana.
Mwaka 2019, nilifanya interview na shirika Moja la waingereza, aisee interview ilikuwa Kali hatari, nilikuwa natoa jibu linalonijia kichwani.
Cha kushangaza baada ya wiki Moja...
Habari ndg...
Kama utasikia au unahitaji mtaalamu kama huyu usisite kumtafuta
Ana uzoefu wa kutoa huduma ya afya akili kama
Kufanya uchunguzi wa afya akili yako (Mental status examination)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.