Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Natafuta kijana wakuuza popcorn maeneo ya feri pale location ipo imetulia kabisa mshahara ni maelewano kama kuna mtu ataitaji apige simu 0685141035 asitume sms piga simu [emoji1545]
1 Reactions
0 Replies
324 Views
Wizara ya Afya (MOH) kupitia Ruzuku ya Mfuko wa Kimataifa (GF) inatafuta watu binafsi wenye ari, wabunifu na wenye nguvu ambao watafanya kazi chini ya , 2026) makubaliano ya kimkataba kujaza...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Mtu haouko addicted na pombe kazi yako iko vizuri na hakuna lawama Wala malalamiko yoyote kwa unaowahudumia lakini BOSS WAKO anakuambia chagua moja moja kazi au uende rehab? Nlikua Naomba...
1 Reactions
7 Replies
649 Views
Elimu yangu ni shahada ya Takwimu Mawasiliano: 0754391240
1 Reactions
5 Replies
633 Views
Moja kati ya Maswali ya mtego unayoweza kukutana nayo kwenye Usaili Wakati wa Usaili wa Kazi, unaweza kuulizwa Swali kama Tueleze au twambie kuhusu wewe (imezoeleka kusemwa Tell Us about...
0 Reactions
1 Replies
6K Views
Habari wakuu, Naomba kusaidiwa kujua maswali muhimu yanayoulizwa kwenye nafasi tajwa hapo juu. Kiukweli hii ni kada ambayo siifahamu vizuri ila akitokea wa kunielewesha na kunipa namna ya...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Mkitafuta kazi zingatieni ushaur huu msipambane kupata kampuni kubwa au nzuri Pambania kupata boss mzuri kampuni kubwa itaenda kukutumia kama kitendea kazi lakin boss mzuri atakusaidia ku...
2 Reactions
6 Replies
732 Views
MTEULE SECONDARY SCHOOL MOROGORO Job Ad & Profile Description 1.Position : Secondary School Teacher We are looking for secondary school teachers, Major Mathematics and Geography A full-time...
0 Reactions
2 Replies
842 Views
Habari, Mimi ni kijana wa kiume umri miaka 24 ni muhitimu wa elimu ya juu, nina shahada ya elimu niliyoipata mwaka jana (2022), Nina uzoefu wa ufundishaji usiopungua mwaka mmoja, kwa sasa nipo...
0 Reactions
15 Replies
845 Views
Habari wana JF, Mimi ni mhitimu wa ufundi umeme majumbani mwaka wa pili. Nipo Dar Natafuta kazi hata ya kujitolea ili kuongeza ujuzi na uzoefu katika fani yangu. Nina imani hapa JF wapo watu...
2 Reactions
4 Replies
869 Views
Position: Business Services Coordinator Term: Temporary Contract Key Accountabilities Able to follow and understand local payroll practice, processes, requirements, local labor law changes all...
0 Reactions
1 Replies
591 Views
Kuna mtu yoyote aliyeapply nafasi ya assistant accountant iliyotangazwa July 2023 pale UDSM na akaitwa kwenye interview?
0 Reactions
3 Replies
729 Views
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inapenda kuwataarifu waombaji kazi waliofaulu mtihani wa mchujo na kuchaguliwa kwa ajili ya usahili wa vitendo na mahojiano unatarajiwa kufanyika kuanzia tarehe 29...
7 Reactions
77 Replies
12K Views
Wakuu nina degree ya sheria ambayo nimeipata kwa mbinde sana (mishale mingi bado kidogo ni-disco). Nimeenda law school nikasema ngoja nikaze walau nitoke first seat kusafisha maumivu ya degree...
9 Reactions
22 Replies
2K Views
Position: Intern Monitoring and Evaluation Reporting to: the Technical Advisor, immunization Duty Station: Morogoro and Kagera Region In collaboration with M/E assistants, M/E interns will...
0 Reactions
0 Replies
659 Views
Position: IT, Jr. Lead Reports to: Vice President of Operations (VPO) Line Reports: Contracted IT Team Natural Extracts Industries Ltd (NEI) is pioneering the sustainable, natural flavour...
0 Reactions
0 Replies
541 Views
The Revolutionary Government of Zanzibar has signed an agreement with the Government of the United Kingdom of Great Britain and Northern Ireland to work together in fighting corruption and serious...
0 Reactions
0 Replies
577 Views
Position: Assistant Nursing Officer II (4 Posts) Qualifications and Experience: Holder of Diploma in one of the following fields; Nursing, Midwifery or equivalent qualifications from recognized...
0 Reactions
0 Replies
830 Views
Position: Superintendent – OHS Operations Category: Health & Safety Job Schedule: Full time Location: Tarime, Tarime, P.O. Box 422, TZ Responsibilities Develop competency and capability to...
0 Reactions
0 Replies
646 Views
Position: Consultancy Objectives We are seeking a qualified consultant to conduct Preventing Sexual Exploitation and Abuse (PSEA) training for our [and our implementing partners] staff in...
0 Reactions
0 Replies
410 Views
Back
Top Bottom