Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Naomba msaada kwa, wale wazoefu wa huu mfumo wa ajira portal , baada ya kumaliza kutuma maombi kuna baadhi yetu wamepokea jumbe kwenye email zao kua wamefanikiwa ila kwa wengine hakuna...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wana JF, Anahitajika kijana mwenye uzoefu wa photo and video shooting kuna fursa hapa Location: Dar es Salaam Piga: 0625544723
0 Reactions
1 Replies
558 Views
Habar wana JF, Naomba kuuliza hivi ukiwa una apply job kupitia ajira portal kuna haja ya kuattach CV au una preview tu details ulizojaza mwazo na kuattach.
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Hiki cheo kimevuma hivi karibuni. Mwenye kujua huwa anajishughulisha na nini huyu POSTAMASTA MKUU atujuze.
0 Reactions
2 Replies
443 Views
Habari za majukumu wana familia wa Jamii Forum, Natafuta kazi. Nina elimu ya certificate ya Mipango Miji ila nimeshajaribu kutafuta kazi nimekosa ni muda sasa nina umri wa miaka 32.
2 Reactions
4 Replies
609 Views
Kwa wale waliosoma kozi za afya ..wameita kwenye interview lakini malalamiko yamekuwa mengi hasa kwa wenye shahada za uuguzi Na udaktari ,, shime shime shime, vijana wenzangu twende tukafanye...
6 Reactions
14 Replies
947 Views
Graduate BA majored Economics Nimepitia mafunzo ya ualimu. Uzoefu kufundisha Economics, Geography (1&2) na GS miaka 10. Kwasasa nashughuli binafsi (usaidizi na ushauri miradi na uandishi...
2 Reactions
0 Replies
244 Views
Mi mamaa mtu mzima anahitaji kazi Kulea wazee. Kuangalia mzazi aliejifungua n.k Yupo Dar. Kazi kazi za nyumbani. Mshahara uanzie 150,000 Ni mchapakazi. Hana mume wala watoto, sio msumbufu.
1 Reactions
1 Replies
402 Views
Mbunge wa jimbo la Arumeru Magharibi (CCM) Noah Lemburis Saputi amesema ipo haja ya wataalamu wanaoandaa vigezo vya ajira kuangalia hali za Watanzania kwani kigezo hicho hakiko sawa huku akitaka...
2 Reactions
1 Replies
503 Views
VAS Software Integration Engineer Posting Country: Tanzania, United Republic of Date Posted: 30 Aug 2024 Full Time / Part Time: Full Time Contract Type: Permanent At Vodacom, we’re working...
1 Reactions
0 Replies
554 Views
Anahitajika Sales& Marketing Vifaa vya Ujenzi. hapa Dar es salam Ofisi ipo Tegeta Mwisho. Nafasi zipo mbili. Wasichana tu! 0746411019.
2 Reactions
1 Replies
274 Views
System Admin: Contact & Digital Channels Posting Country: Tanzania, United Republic of Date Posted: 30 Aug 2024 Full Time / Part Time: Full Time Contract Type: Permanent At Vodacom, we’re...
1 Reactions
0 Replies
480 Views
Business Analyst – Business Performance & Revenue Assurance Department - DEPARTMENT OF RETAIL BANKING Location- Tanzania Head Office Number of openings - 1 Job Purpose The Revenue Assurance...
0 Reactions
0 Replies
436 Views
Urgent!Temporary work for Machine 3D autoCAD layout design. DM for Details.
3 Reactions
0 Replies
314 Views
Job Purpose The role holder will be responsible for reconciliation of clients’ accounts and ensure queries from intermediaries are promptly responded. Key Responsibilities Cash flow management...
0 Reactions
0 Replies
429 Views
Senior Instructor/Assistant Professor, Urology Entity - Aga Khan Health Services Location - Tanzania Introduction Aga Khan University, a private, self-governing international university...
0 Reactions
1 Replies
489 Views
Habari za majukumu wakuu? Natumaini mko salama. Ningeomba msaada wenu wa hali na mali katika kunisaidia kupata nafasi yoyote ya kazi. Nina imani kuwa kwa msaada wako, nitapata nafasi...
1 Reactions
0 Replies
480 Views
Wadau hivi katika suala la kuomba ajira mpaka kwenye interview,je ukiwa unatumia AFFIDAVIT AU DEEDPOLL kutokana na changamoto ya majina. Je, hii inaweza kuwa kama udhaifu kwako wa uwezekano wa...
0 Reactions
0 Replies
989 Views
Habari, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Siku tatu zilizopita STATUS ilibadilika kutoka employer kuwa MDAs na LGAs hadi employer kuwa mkoa husika. Jana imebadilika status imebadilika tena...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Poleni na majukumu ndugu zangu. Mimi ni kijana was kiume, nina umri wa miaka 27 na ninaishi Dar es salaam Tanzania. Ninahitaji kazi, aidha internship, nafasi ya kuanzia(entry level), kazi ya...
1 Reactions
0 Replies
396 Views
Back
Top Bottom