Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Mjiandae.. Tayari baadhi mmeshaanza kuona mabadiliko katika account zenu. Utathibitisha Mkoa àmbao upo tayari kwaajili ya usaili, Kwa wale wale watakaofanikiwa kuendelea na Oral. Kisha...
7 Reactions
36 Replies
4K Views
Watatoa lini majina ya walio chaguliwa kuelekea kihangaiko kwajili ya kujiunga na jeshi la Tanapa Tz?
2 Reactions
18 Replies
3K Views
HELLOW WALIMU TARAJALI Kuna jambo jipya huko Ajira portal. kila moja aingie kwenye account yake kisha aconfirm employer wake. Thibitisha mkoa wako je ndo ule uliochagua katika barua ya kuomba kazi?
4 Reactions
16 Replies
20K Views
Wadau, nimeona kwenye account ya ajira portal kwenye maombi ya ualimu nimewekewa mikoa alafu nimeandikiwa confirm employer, lakini ni mikoa ambayo mimi sikuomba. Je naweza nikabadilisha!!??
5 Reactions
41 Replies
5K Views
Inakuaje sikuizi watu wengi wanataka kusafiri nje sanasana kwa ajili ya kazi. Magroup ni mengi na wahamasishaji ni tele pia. Sasa nikupashe labda uwe na ndugu zako nje au umepata mpenzi la sivyo...
3 Reactions
4 Replies
3K Views
Kuhusu waliiomba ajira tunaambiwa tu confirm employer lakini nime Fanya ivyo ikaandika submitted ila hakuna kilicho change Bado ni vile vile confirm employer hapo wenye uelewa atueleweshe
3 Reactions
10 Replies
761 Views
Salaam, Ninao wateja wa uhakika kwa baadhi ya hotel za hapa D'salaam na makazi ya watu(apartiments nyingi) Anatafutwa mpeleka mzigo kwa baadhi ya ofisi pale mtaa wa Nkurumah( Aura tower, Rissa...
7 Reactions
2 Replies
568 Views
Kindly allow me to add value in your activities by financial data analytics and reports by the use of advanced excel tools and other applications. This can be done remotely from my office at...
2 Reactions
0 Replies
375 Views
Wakuu mimi ni zao la hapa JF mara kadhaa Jf imekuwa kimbilio langu pale nilipo yumba kiuchumi nika kimbilia hapa niliweza kusaidiwa vya kutosha wachache wanaweza kukumbuka jina Mkongoro...
6 Reactions
8 Replies
532 Views
Kazi kwenu wenye vigezo
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari zenu Wakuu. Jamani kama amekosekana wa kunishika mkono kupata KAZI) Kibarua, Tafadhali nisaidieni majina na location ya viwanda ambavyo wanapokea vibarua. Nawaomba sana, Nikipata kazi ya...
1 Reactions
3 Replies
735 Views
Nimefanya kazi sehemu tofauti tofauti kwenye sekta binafsi (Kampuni). Nimekutana na mengi kwenye makampuni. Kwa wanaitafuta ajira/ mliopo kazini kuwa makini na yafuatayo; Kampuni nyingi...
14 Reactions
17 Replies
1K Views
Kuna watu wanakosa kazi kwa sababu ya kuwa na sifa kubwa zaidi ya zinazohitajika. Kumbuka ku adjust CV yako iendane na kazi unayoomba. Soma kisa cha Marcial hapa: Despite having an MBA, Marcial...
2 Reactions
1 Replies
413 Views
Habari za leo wanaJamiiForum Kijana wenu ni mhangahikaji hapa mjini, nimeomba tenda fulani kupitia kwenye mfumo wa manunuzi wa serikali(nest) na nimefanikiwa kupata tenda hiyo kwani nimepokea...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Viongozi wanaohusika tunaomba ufafanuzi kweny hili wengi wetu mikoa ambayo tuliomba sio ile ambayo tumeandkiw kweny account zetu za ajira portal kweny kpengele cha employer na kuna ujumbe umetumwa...
3 Reactions
29 Replies
2K Views
Jinsia: Mwanaume Umri:21 Elimu: kidato cha 6 Mafunzo: JKT kwa mujibu wa sheria 2022
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Tunatafuta Mbunifu wa Picha na Sanaa ya Mwendo kujiunga na timu yetu. Muhitaji anapaswa kuwa na ujuzi wa kudesign "mockups" kwa miradi mbalimbali, michoro ya 3D, michoro ya kawaida ya 2D, na...
1 Reactions
6 Replies
782 Views
Habari zenu wanajukwaa, Naomba msaada wa maswali yanayoulizwa kwenye usaili wa Afisa Biashara (written interview) Utumishi, ambayo imejumuisha Kada mbalimbali za biashara. Asanteni.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari za leo wadau wa JF. Mimi ni Mwalim wa Kingereza Ngazi ya Shahada. Naomba uzoefu kidogo kwa wale waliofanya usili wa Utumishi wa online wa hivi karibuni. Je, 1. Maswali ni ya kuchagua au...
0 Reactions
4 Replies
772 Views
Samahani naitwa Clause Michael mng'ong'o nipo njombe Makambako,naomba kama Kuna dereva wa it au mtu ana connection na madereva wa it naomba kuwasiliana naye 0765091194 WhatsApp au kawaida.
2 Reactions
2 Replies
520 Views
Back
Top Bottom