Kuna jipya huku ajira portal (walimu)

Kuna jipya huku ajira portal (walimu)

mike2k

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2016
Posts
1,650
Reaction score
3,651
HELLOW WALIMU TARAJALI
Kuna jambo jipya huko Ajira portal.
kila moja aingie kwenye account yake kisha aconfirm employer wake.

Thibitisha mkoa wako je ndo ule uliochagua katika barua ya kuomba kazi?


IMG-20240914-WA0001.jpg
 
Dah!mamb ya ajira bhana. Kila la heri wahanga wenzangu
 
Tayari nime confirm lakini bado inaandika confirm employer
Ukibinya kwenye CONFIRM,zinakuja option kadhaa,ambazo wewe unaangalia mkoa ambao unaweza kwenda kufanya usahili kwa urahisi,sidhani kama kuna ulazima wa ku-confirm mkoa uliochagua mwanzo.
 
Mbona inagoma ,, au mtandao haupo vizuri??
Uki- confirm ina load tu na hamna chochote kinachoendelea
 
Mie nilituma maombi mwez wa saba kada ya engineering lakin suoni ki2
 
Mwalimu tarajali ni yule aliyepo chuoni ambae hajahitimu masomo yake ukiishahitimu wewe ni mwalimu full.
 
Back
Top Bottom