inabadilika, chagua mkoa kisha bofya kukubali baada ya dakika moja utaona imeandika ule mkoa unaohitajiKuhusu waliiomba ajira tunaambiwa tu confirm employer lakini nime Fanya ivyo ikaandika submitted ila hakuna kilicho change Bado ni vile vile confirm employer hapo wenye uelewa atueleweshe
nafikiri baada ya hizo siku tatu walizotoa ndo kitabadilika kitu, pia naomba na mm nisaidiwe manzoni nilichagua Dodoma na moro ila mimi nipo tabora na statua yangu ilikuja ikionesha mikoa nikiyoiomba awali vipi siwezi itema na kuomba mikoa yote na masomo yote tabora ili kuepusha gharama za usafiri??? Asante.
Labda uliandika EMPROYERKuhusu waliiomba ajira tunaambiwa tu confirm employer lakini nime Fanya ivyo ikaandika submitted ila hakuna kilicho change Bado ni vile vile confirm employer hapo wenye uelewa atueleweshe
Mkuu hii ni kwa waalimu au afya
Unataka upangiwe wapi kituo cha kazi??
Eneo la usaili halihusiani na kituo cha kazi kwa usaili wa mchujo. Kama uko Tabora na unataka ufanyie aptitude Tabora, rekebisha current address isome Tabora ila employer chagua unaetaka upangiwe kituo cha kazi.
Ila siwanasema employer ndiye/ ndiko utakpofanyia oral
Mwalimu acha mawenge, tulia.Kuhusu waliiomba ajira tunaambiwa tu confirm employer lakini nime Fanya ivyo ikaandika submitted ila hakuna kilicho change Bado ni vile vile confirm employer hapo wenye uelewa atueleweshe
Afya c mshamalizana na usaili au?Mkuu hii ni kwa waalimu au afya