Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Jaman kuna mtu yeyote ameitwa ppf sacos kwny interview nafasi ya acountant? Plzz any news,
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Ofisini kwetu wanaitaji kuajiri accountant mmoja,awe na experience ya mwaka mmoja hadi miwili,duty location ni dar,awe na degree au advanced diploma in accountancy.awe na typing speed...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Dears mwenye news zozote kuhusu hawa watu kama walishaajiri wahasibu, maana nimefanya interview hadi leo naona kimya...nisaidieni jaman!
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Am hlw guyz,am new n dic bt halla 2 al ,am jst lukn 4r a job 2 du co f any1 has heard of smplc lukn 4r customer crz n companiez,telecommunication,banks plz contanct me n ma number 0718211364 dat...
0 Reactions
34 Replies
5K Views
Jamani mliokwenda usahili TRA vipi zilikuwa ni nafasi zote walizotangaza au some of them?.Manake nashindwa kuelewa.
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Wana JF nawasalimu tena poleni na harakati za kuijanga nchi yetu ijapokuwa mafisadi wanaibomoa. Baada ya hayo naomba msaada wa location ya ofisi za Save the children Tanzania nisaidieni
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jamani ndugu zngu naomba mnisaidie,na certificate ya social work,na bado naendelea na masomo mwk wa2 ningefurahi kufanya kz hk na soma.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hi
Jaman leo hakuna jipya?turushieni matangazo ya kazi watoto wa maskin
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Inanichanganya sana hebu wana JF NIFAFANULIEN mwajiri anapotangaza na kutoa sharti hilo ana maana gani?
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Wadau, kama kuna ajira zinazohusiana na computer network, Data base Administrator na Computer programming naomba unijulishe. Kozi hizo zote nimesoma UCC- Dar es salaam . Computer network under...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
AFRICAN BARRICK GOLD Position: Fitter Mechanics Education/Qualification: Quality communication: pay attention to communication from other; keep clear...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Wizara ya Utumishi - Nafasi za kazi na ajira - Wavuti This advert is found in www.utumishi.go.tz, www.pmoralg.go.tz, and www.mot.go.tz
1 Reactions
3 Replies
26K Views
UNITED NATIONS WORLD FOOD PROGRAMMEINTERNAL VACANCY ANNOUNCEMENT"WFP is an equal opportunity employer and qualified women are strongly encouraged to apply" "WFP is an equal opportunity employer...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
jamani naomba mnijuze presion air walitoa nafasi za Accountant vipi walishaita watu au bado? wenu katika kutafuta kazi
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mamboz!! Kwa waliopata email jana from Mambo publishers titled MTAFITI MSAIDIZI naomba mnitafute.
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Hamjambo watanzania wenzangu
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Humane Studies Fellowships are awarded to graduate students and outstanding undergraduates embarking on liberty-advancing careers in ideas. The fellowships support study in a variety of fields...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana jf, nna interview ya kazi ya sales ila sijawahi kusomea sales, nilisomea mass communication n public relation. nisaidieni jamani.
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Kwa wale waliopita kwenye 'initial screening stages' za Diageo, vipi wameshaanza kuwaita kwa ajili ya "Assessment centre"? na itakuwa lini? kwa mwenye taarifa tafadhali. thanks.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
jaman kuna mtu yeyote alyefanya interview PWC tax consultant walisema wataita 2nd interview, vp any updates?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom