Naomba msaada wa kuelekezwa ofisi za Save the children TZ | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba msaada wa kuelekezwa ofisi za Save the children TZ

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Mwana UoA, Nov 25, 2011.

 1. M

  Mwana UoA Member

  #1
  Nov 25, 2011
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana JF nawasalimu tena poleni na harakati za kuijanga nchi yetu ijapokuwa mafisadi wanaibomoa. Baada ya hayo naomba msaada wa location ya ofisi za Save the children Tanzania nisaidieni
   
 2. k

  kaaa Member

  #2
  Nov 25, 2011
  Joined: Oct 9, 2011
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  WAKO mikocheni karibu fedha secondary school
   
 3. h

  hiakaman Member

  #3
  Nov 25, 2011
  Joined: Jun 27, 2011
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  panda magari yanayotoka buguruni kwenda kawe then shuka kwa mwalimu nyerere(mungu ailaze roho yake mahali pema peponi) rudi nyuma atua kadhaa utaona kibao kinaonyesha Ifakara Health Institute na kadhalika utafuata uelekeo huo wa ifakara, b4 ifakara utaona hiyo
   
 4. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #4
  Nov 25, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,978
  Likes Received: 6,620
  Trophy Points: 280
  shuka kituo cha shule ya fedha.omba msaada.kama unatoka moroco kuelekea kawe. mia
   
 5. M

  Mwana UoA Member

  #5
  Nov 26, 2011
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ahsanteni sana wana JF kwa msaada wenu
   
Loading...