Nani anauelewa zaidi kuhusu Nafasi za kazi za shirika la ILO ALMAARUFU KAMA "KAZI NJE NJE"? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani anauelewa zaidi kuhusu Nafasi za kazi za shirika la ILO ALMAARUFU KAMA "KAZI NJE NJE"?

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by MCHUMIPESA, Jun 18, 2012.

 1. M

  MCHUMIPESA JF-Expert Member

  #1
  Jun 18, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 2,095
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hivi nafasi wanazozitangaza zinawasaidia vipi vijana ktk kujikwamua kimaisha?.Je kuna ukweli wowote?.Naomba kwa yule yeyote anayefanya kazi kwenye hili shirika tena kwenye kazi nje nje atujuze.Asanteni karibuni
   
Loading...