Nilivurunda interview yao lkn bado waliniita kazini

mmteule

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
5,499
12,826
wanajamvi wenzangu najua sote tutafutao kazi ipo siku tutapata na haya yoote yanayotupata kipindi hiki kigumu yatabaki stori, hata sisi ambao tulishapata bado tunaangalia green pasture ndo maana kutafuta kazi kwa msomi ni safari isiyo na mwisho..... katika harakati zangu za kutafuta kazi niliitwa interview na Jeshi la Polisi kufanya Interview Kule Kilwa Road, kwakweli sitasahau wadau.....nilikuwa natoa majibu ambayo yamebeba ujumbe ambao unamchoma mwajili yaani polisi.
swali la kwanza .... kwanini wewe ndiye hauko smart umevaa fulana chafu halafu chini umevaa sendoz unamaanisha nini.... honestlly nilijibu...Jeshi la Polisi lina sare zake, kwahiyo namaanisha niko tayari kuvaa magwanda hata leo, over..... woooote watano wakacheka sana... wakakaa kimia kwa muda.
swali la pili....... wewe vyeti vyako vinaonesha ulikuwa kiongozi wa serikali ya wanafunzi chuoni kwako, then chuo chako kimegubikwa na migomo mingi sana.... je hiyo inaaashiria nini? nikaanza kutiririka siku zote haki na usawa haviji bila kulichimba kwa nchi zetu hizi za dunia ya tatu zilizojaa ufisadi, rushwa na ukiukwaji wa haki za binadamu likiwemo jeshi lenu la polisi...... duh.... kidogo wanitie pingu....ukawa mzozo mle ndani. then ukaisha tukaendelea.....

inshort nilikuwa najibuu kwa kuwachoma.....amini usiamini mwisho wa siku niliiitwa kazini kwenda CCP moshi, ingawa nilikacha. sasa nimekuwa nikijiuliza walinipate nafasi kwa majibu hayo ya kifedhuli????
 
waliozunguka miaka zaidi ya mitatu wanatafuta kazi...hata kibarua au Kujitolea wakiona Post yako na jinsi ulivyochezea nafasi.....Wakikulaani mi nitaona poa tu!!!!
 
wanajamvi wenzangu najua sote tutafutao kazi ipo siku tutapata na haya yoote yanayotupata kipindi hiki kigumu yatabaki stori, hata sisi ambao tulishapata bado tunaangalia green pasture ndo maana kutafuta kazi kwa msomi ni safari isiyo na mwisho..... Katika harakati zangu za kutafuta kazi niliitwa interview na jeshi la polisi kufanya interview kule kilwa road, kwakweli sitasahau wadau.....nilikuwa natoa majibu ambayo yamebeba ujumbe ambao unamchoma mwajili yaani polisi.
Swali la kwanza .... Kwanini wewe ndiye hauko smart umevaa fulana chafu halafu chini umevaa sendoz unamaanisha nini.... Honestlly nilijibu...jeshi la polisi lina sare zake, kwahiyo namaanisha niko tayari kuvaa magwanda hata leo, over..... Woooote watano wakacheka sana... Wakakaa kimia kwa muda.
Swali la pili....... Wewe vyeti vyako vinaonesha ulikuwa kiongozi wa serikali ya wanafunzi chuoni kwako, then chuo chako kimegubikwa na migomo mingi sana.... Je hiyo inaaashiria nini? Nikaanza kutiririka siku zote haki na usawa haviji bila kulichimba kwa nchi zetu hizi za dunia ya tatu zilizojaa ufisadi, rushwa na ukiukwaji wa haki za binadamu likiwemo jeshi lenu la polisi...... Duh.... Kidogo wanitie pingu....ukawa mzozo mle ndani. Then ukaisha tukaendelea.....

Inshort nilikuwa najibuu kwa kuwachoma.....amini usiamini mwisho wa siku niliiitwa kazini kwenda ccp moshi, ingawa nilikacha. Sasa nimekuwa nikijiuliza walinipate nafasi kwa majibu hayo ya kifedhuli????

mkuu font size ni ndogo sana.
 
Interview ya kiswahili au kiingereza?? labda ndo mana ulijiamini.

Vinginevyo,,ze ,ze ,zingekua nyingi.
 
kuna msanii mmoja marehemu kwa sasa alishawahi kuimba nyimbo inaitwa SIFA ZA KIJINGA..naomba mdau anayefuata anipe jina la huyu msanii.
 
Mr Ebbo...!
Alifu akaongezaga na moja inaiywa "ganja bana"
 
Alafu aliongeza Maneno mbofumbofu nachanganya....
Ebu tutolee maneno mbofumbofu apa we kamongo
 
sas weye wajiona mjanja sana?, kwa dunia ya sasa hiv usichezee kazi, kama hiyo kazi ulikuwa unamahitaji nayo usingeomba ili wapewe wenye mahitaji si kama ulivyofanya ww.
 
sas weye wajiona mjanja sana?, kwa dunia ya sasa hiv usichezee kazi, kama hiyo kazi ulikuwa unamahitaji nayo usingeomba ili wapewe wenye mahitaji si kama ulivyofanya ww.

best usimsikilize huyo ni muongo sana, familia yake imemtenga kwa tabia zake za umagumashi.
 
Haa Arooooo turikuwa tunakutafura..rireee rijitu rimeenda wapi...aise tumekukamata!!
 
Based on your stupid/straight forward answers .......You probably were the lesser of the bunch hooligans interviewed.
 
Pengine walikua wanahitaji mtu kama wewe...! haukujibu ki fedhuli hata kidogo..., kama sikosei wangekuweka magereza ukawe nyapara
 
Peleka huu Uzi chitchat hapa si mahali pake. Usiharibu Jukwaa tafadhali.
 
Back
Top Bottom