Wadau,
Mimi ni mwalimu wa Physics/Chemistry natafuta kazi private sector.Nimekuwa serikalini kwa miaka takribani minne na ninahitaji kubadilisha ajira.Kwahiyo kama wewe unahusika au unamiliki au...
An interesting and challenging accountant vacancy is available at an IT firm specializes in marketing, sales and marketing of the custom software products. The candidate is expected to poses the...
Katika Hekaheka Za Utafutaji Sasa Niko Nje Ya Nchi Nimeajiriwa sasa Nina Laki 3 Tsh Ila Nahitaji Kurudi Tz Ili Nijiajiri.
Kwa Uwezo Wangu Mdogo Wa Kufikiri,ninampango Wa Kujumua Viatu Mbeya...
Kazi nyingi chuo kiku cha Dodoma
East Africa Job Board::Free jobs for all in Kenya,Tanzania,Uganda,Rwanda and South Sudan: University of Dodoma, Administrative Posts massive recruitment(TANZANIAN...
Wadau naomba kufahaishwa kama tayari ajira za ualimu wa secondary kwa mwaka huu zimeanza kupangwa au bado. Maana najua mwaka jana watu walisubiri mpaka mwezi wa kwanza mwaka huu. Wenyefununu...
ENERGY SERVICES LTD URGENTLY WANT TO EMPLOY AN ACCOUNTANT/AUDITOR WITH A MINIMUM EXPERIENCE OF 2YRS.
SEND YOUR CV TO
contact@energyserviceslimited.com
OR
kderua@yahoo.com
Kazi ndio hizo watanzaniaEast Africa Job Board::Free jobs for all in Kenya,Tanzania,Uganda,Rwanda and South Sudan: Project Director at CHF International,Tanzania
East Africa Job Board::Free jobs...
wakuu jana nilisikia mtaani kwamba tpa wametoa nafasi za kazi. ikabidi leo niende pale utumishi kwenye ubao wao wa matangazo. nikatuta kweli nafasi zipo. nafasi zilizo tangazwa ni;
Sailors...
Nimekuwa nikifundisha shule moja hapa mjini Arusha tangu 2006 nilipohitimu mafunzo ualimu Monduli. Mimi ni mwalimu wa Physics and Mathematics O'level. Nina diploma ya kufundisha masomo hayo...
HABARI WA JF,
HIVI MAJUZI NILIPOKEA EMAIL KUTOKA KWA WATU NISIOWAFAHAMU WAKIJIFANYA IMETOKA KWA KAMPUNI YA TATU KWA UKUBWA YA MAFUTA NCHINI NIGERIA, WAKINIITA KWENYE USAILI HUKO NIGERIA TAREHE...
wadau habar zenu naomba kujua hwa jamaa wanaitwa agha khan univesity mshiko wao umekaaje kwenye post ya assistant accountant,naombeni kujua wadau bt mnisaidie wadau msinshambulie sana aminia jf...
Wakuu
Naomba kujua maafisa uhamiaji graduates wanaanzia na mshahara kiasi gani na kozi zipi huwa zinatakiwa ili uwe na sifa za uafisa uhamiaji.
Nawasilisha wakuu.
Own your own business - Become distributor now - visit
For one month Twiga Hosting Ltd the owner of wfrobot erp will be registering distributors of wfrobot erp. You will always earn...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.