Maafisa Uhamiaji. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maafisa Uhamiaji.

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by EJay, Aug 29, 2012.

 1. E

  EJay JF-Expert Member

  #1
  Aug 29, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 694
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Wakuu

  Naomba kujua maafisa uhamiaji graduates wanaanzia na mshahara kiasi gani na kozi zipi huwa zinatakiwa ili uwe na sifa za uafisa uhamiaji.

  Nawasilisha wakuu.
   
 2. IHOLOMELA

  IHOLOMELA JF-Expert Member

  #2
  Aug 29, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 833
  Likes Received: 361
  Trophy Points: 80
  mshahara ni kama 438,000/- kwa kuanzia. lakini uwe tayari kwenda JKT kupiga kwata kwa miezi 6 halafu miezi mitatu utapelekwa TRITA Moshi kwenye chuo cha uhamiaji ukapewe ujuzi kidogo katika masuala mazima ya kuhamia na kuhama nchini
   
 3. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #3
  Aug 29, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  kuhamia nchi au kupitisha wahamiaji na mihadarati kama kule kilimanjaro na arusha????
   
 4. E

  EJay JF-Expert Member

  #4
  Aug 29, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 694
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  asante mkuu na ubarikiwe,je lazima upitie JKT?hiyo miezi mitatu Moshi ntaenda kwa kuwa nasoma Law enforcement kwa sasa.
   
 5. MFYU

  MFYU JF-Expert Member

  #5
  Aug 31, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 507
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  BALE oyeeeeh!
   
Loading...