Mantra, mantra tanzania ltd!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mantra, mantra tanzania ltd!!!

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Rweza79, Aug 18, 2012.

 1. R

  Rweza79 JF-Expert Member

  #1
  Aug 18, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 211
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Wapendwa naomba mnifahamishe kuhusu kampuni ya Mantra tanzania ltd. Mishahara yao ikoje, na mambo mengine unayoyafahamu.

  Rgds.
  Jf.
   
 2. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #2
  Aug 18, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,237
  Trophy Points: 280
  Mkuu mbona umekuja kwa mtindo wa promotion??nikajua wanauza tractor kwa bei ya promo!!anyway subiri waje wadaku wa mishahara ya watu!
   
 3. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #3
  Aug 18, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Hawa si ndio watakaochimba uranium kule Namtumbo!
  Wanalipa vyema ila ndo ivyo tena madhara ya uranium juu yako
   
 4. Al Zagawi

  Al Zagawi JF-Expert Member

  #4
  Aug 18, 2012
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,715
  Likes Received: 239
  Trophy Points: 160
  mkuu we nenda tu kwenye interview, jiuze na dai unachostahiki! kujua level za mishahara hazikusaidii sana kama huwezi kujiuza wewe mwenyewe!
   
 5. R

  Rweza79 JF-Expert Member

  #5
  Aug 18, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 211
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Ndio hao wenyewe lkn nataka jua ni watu wa aina gani wanaohimiliki kampuni hiyo?
   
 6. commited

  commited JF-Expert Member

  #6
  Aug 18, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 1,617
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  RWEZA 79

  Hao jamaa walikuwa wazuri sana wakati walipoanza kampuni ilikuwa imeshikiriwa na wacanada na waustralia, wanachimba uranium namtumbo around mkuju river wapo kwenye serou game reserve (Namtumbo songea), sasa hivi wanafanya utafiti wa uranium lakini kiaina wanachukua madini around the area, mwaka jana mwezi dec waliingia ubia na Russia one,(Nimakaburu wakatili sana) mishahara ikapunguzwa risk allowance( coz unakaa wiki6 site na wiki 3 off, mnapoa msituni mmezungukwa na matembo na masimba etc) so ilikuwepo hyo risk allowance ya kutosha ikaondolewa baada ya hao warusi kuja watu wengisana wameondoka mpaka hizo nafasi za environmental officer et al.. kutangazwa huyo jamaa environmental officer ni ndugu yangu alicha kazi hiyo baada ya kuona hao warusi wanajipendelea mtu mwenye diploma tu ya geology wa kwao wanamlipa around dola 8,000 achilia mbali malupulupu mengine, wakati kazi kubwa alikuwa anzifanya huyo environmental officer then wakamtoa kwenye salary ya 1,200,000 mpaka laki 700,000 jamaa akasepa, wengi tu wamesepa hata mtaalamu wa maji wa barrick ambaye alijiunga na hao mantra naye alicha kazi watu kama 6 hivi matechinician wameacha kazi... full risk huko, huyo jamaa yangu aliwahi kukuswa koswa na simba, alikuwa anadrive, kwenda kuchukua sample ya udongo na maji eneo fulani akapaki gari fresh, kurudi anakuta simba amepoa kwenye mlango wa gari loh ilikuwa noma... bahati simba alikuwa ameshiba akasepa.. jamaa hakuamini... so kama huna dili kabisa mkuu nenda lakini kama unadili lingine.... think twice, hao makaburu siyo watu washatesa watu wengi sana tangu wapewe huo mgodi... kila lakheri
   
 7. sumasuma

  sumasuma JF-Expert Member

  #7
  Aug 18, 2012
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 331
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Safi mkuu kwa Taarifa na mimi nilikuwa natafuta taarifa hizo!!!
   
 8. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #8
  Aug 18, 2012
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,921
  Likes Received: 453
  Trophy Points: 180
  kama huna watoto usiende huko,mi nawafahamu,naona pollution ishaanza huko mgodini manake nawaona hapa majiya kunywa na kuoga wanafuata kijiji flani kinaitwa mchomoro/namtumbo district,kwenye malipo jamaa kaelezea hapo juu,kila la kheri
   
 9. R

  Rweza79 JF-Expert Member

  #9
  Aug 18, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 211
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Sawa kiongozi, sasa hiyo 700000 au 1200000 ni gross au basic?
   
 10. commited

  commited JF-Expert Member

  #10
  Aug 18, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 1,617
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  hizo figure ni kabla ya makato mkuu
   
 11. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #11
  Aug 18, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Nadhani jibu alilolitoa commited litakuwa ni la msaada sana kwako!!!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. R

  Rweza79 JF-Expert Member

  #12
  Aug 19, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 211
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  hicho kiwango ndio ukipata mwezi huu hadi mwezi ujao? Hakuna malupulupu mengineyo? Kama unaweza naomba namba huyo ndg. Yako niwasiliane nae mdau.
   
 13. Bosco Ntaganda

  Bosco Ntaganda JF-Expert Member

  #13
  Sep 1, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 551
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Hahaha mkulu, msalimie Hashim Milanga
   
Loading...