Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

NBC is the oldest serving bank in Tanzania with over five decades of experience. We offer a range of retail, business, corporate and investment banking, wealth management products and services...
0 Reactions
1 Replies
898 Views
Natafuta mtu aliyesoma kuhusu mifugo na yupo competent tuwasiliane hasa awe anajua production ya chakula cha kuku na mifugo mbalimbali. Tuwasiliane through call/Whatsapp 0658183618
1 Reactions
3 Replies
353 Views
Habari wana JF Nimesugua benchi kwa muda sasa. Natafuta ajira. Elimu yangu ni shahada ya sheria. Kazi sio lazima iwe ya kisheria. Tafadhali mwenye kuguswa naomba tuwasiliane kwa email...
1 Reactions
2 Replies
511 Views
Anonymous
Watumishi wa umma tumekua tukiomba nyaraka za madai ya madeni yetu mara kwa mara ila hayafanyiwi kazi. Watumishi wengi wa umma wanaidai serikali malimbikizo ya madai mbalimbali ikiwemo kupanda...
2 Reactions
5 Replies
794 Views
Habari wadau, Mimi ni graduate wa food science mwaka jana sijawahi fanya interview kabisa kwenye maisha yangu. Nimebahatika kupita written kwenda oral nafasi ya nutritional officer naombeni...
8 Reactions
26 Replies
5K Views
  • Closed
Habari Mm ni kijana wa kiume natafuta kazi Umri miaka 24 [emoji117] Kuuza duka [ uzoefu miaka 2 ] [emoji117] Kutengeneza mikate , donati, skonzi [emoji117] Wakala wa kutuma na kutoa pesa...
3 Reactions
84 Replies
4K Views
Iteni watu... Huo sio ungwana jamani. Mtu anafanya interview toka mwaka jana mpaka leo hajapangiwa place ya kufanya kazi, ila utakuta wengine wameitwa kwenye interview na within 3 weeks wameitwa...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Habari zenu wanajamvi, Naungana nanyi wote mlioko Tanzania kwa msiba wa kijana mwenzetu Ruge..! Hakika kazi yake ya hapa duniani ameimaliza na mungu ailaze roho yake mahali pema peponi, Pia naona...
11 Reactions
134 Replies
24K Views
Habari wakuu naulizia wataalamu wakudisgn na kutengeneza garden za kibiashara na sehemu zakuchezea watoto
1 Reactions
1 Replies
268 Views
We are a building material company supplying high quality building materials Role Description This is a contract hybrid role for a Sales Associate . The Sales Associate will be responsible for...
2 Reactions
0 Replies
418 Views
Wakuu kwa mwenye uzoefu au ufahamu kuhusu writen interview ya bot kwa kada ya Bank officer III atusaidie walau tujue kwa kuanzia
-2 Reactions
9 Replies
1K Views
Idara ya Uhamiaji Tanzania imetangaza majina ya vijana 331 waliochaguliwa kujiunga na mafunzo ya idara hiyo kuanzia Machi 1, 2025. Tangazo la kuitwa kwenye mafunzo hayo limetolewa leo Alhamisi...
2 Reactions
20 Replies
4K Views
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA Kumb.Na.JA.9/259/01/A/83 28 Mei, 2022 TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika...
0 Reactions
4 Replies
7K Views
Habari, nina degree ya housing and Infrastructure planning (Mipango miji) nimemaliza chuo kikuu Ardhi mwaka 2023 nipo Dar es Salaam. Natafuta nafasi ya kazi au hata ya kujitolea hata kwenye...
2 Reactions
1 Replies
639 Views
Jamani naomba kujua kwa wale wazoefu wa kazi, kazi za afisa mipango ikoje? anafanya kazi gani hasa? je kuajiriwa ni lazima uwe na vigezo gani (qualification) na je ni serikalini tu au hadi private...
1 Reactions
11 Replies
8K Views
Natafuta Mpishi Wa Vitafunio. Awe anaweza kupika Chapati Kuanzia Kilo 10. Kazi katika Mgahawa ambao upo Dar es Salaam, Maeneo ya Bomba Mbili, Njia ya kutoka Mombasa, Ukonga. Pia mahitaji Mpishi...
3 Reactions
28 Replies
4K Views
Habari zenu? Mimi ni kijana wa kitanzania (me) natafuta kazi kwenye makampuni ya usafirishaji, Bandarini na Taasisi yoyote Simu 0742548727
1 Reactions
4 Replies
674 Views
Habari ndugu zangu, naomba kujua kama humu ndani Kuna mtu anafanya kazi au unajuana na mfanyakazi wa MICHAMVI SUNSET BAY HOTEL. Kama yupo namba tuwasiliane DM maana nahitaji kupata fursa ya...
1 Reactions
2 Replies
456 Views
Nauliza kwa ambae amewai fanya usahili Gaming board Tanzania, written yao ni multiple choice au kuandika yaan maelezo mengi mengi au kwa mwenye idea huwa zinakuaje?
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Kodi gari lenye uhakika na Rhond's company limited linalofaa kwa mahitaji yako yote ya kusafiri. πŸ“… Yanapatikana sasa – weka oda mapema uhakikishe tarehe zako! βœ… Bei nafuu βœ… Magari masafi na...
1 Reactions
8 Replies
680 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…