Wild fauna
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 461
- 189
Hivi hii taasisi huwa ni ya watu fulani au ukoo fulani tu jamani? Mbona hawa wadau wamelala doro sana?
Kila wanapotangaza kazi huwezi kuskia tena mchakato umeishia wap. Nachelea kusema hili shirika lina haja ya kufanyika mapinduz ya kiuongoz. Mr alan kijazi (GENERAL DIRECTOR),hivi huwa michakato yakupata kazi hapo ikoje? Huwa hakunaga hata watu wanao staafu? Sababu mpaka mtangaze kazi ni ishu tena mpaka mjishtukie ndo mnabeep wananchi kwa kutangaza vikazi nafasi mbili au tatu mbaya zaidi hatuoni mwisho wa mchakato.
Kwani hlo shirika ni la kifamilia au kiukoo?
Jaman,nina hasira nyingi kama za mbogo kwa hawa mabwanyenye! Dahh rashidi nigongee ugoro kwanza na we mama nani nipe kiroba nipunguze hizi hasira